ushauri kuhusu kuacha ualimu

ushauri kuhusu kuacha ualimu

veara

Member
Joined
Jun 2, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Ki ukweli mwenzenu ndoto yangu ilikuwa kusomea urubani lakin kutokana na kutofanikiwa kwenda A level,nikaenda UALIMU! Ila c fan yangu.NIFANYAJE?
 
Hawa ndo walimu uchwara wanaofelisha watoto wetu ulifuata nini huko kama ulikuwa hukupendi.
 
ebwana wewe vumilia hapohapo tu maana sasahv kazi ni ngumu sana kuzipata, wengi walikuwa na ndoto za kuwa watu fulani maishani lakn ndoto zao ziliishia sehemu tofauti kabisa na malengo yao ingawa wanaishi na wana furaha, mkuu ng'ang'ana sehemu uliyopo na uwe unajiendeleza kielimu, ni hayo tu kiongozi.
 
Nakushauri mana tufanana bado nafas ipo kama una grade a soma open univesty foundation coz then jiunge na degree,au nenda pale airport aviation utawakva walimu wanaofundisha urubani watakueleza pakuanzia,jk nyerere airport.
 
Tz life hap hainaga formula ndugu so na uwezi qwenda quazima mboga jirani mpaka umalize ya qwaqo qwanzaaaaaa so make sure tu pga mzgo wa yqweli mambo ynywe yatajipa coz ualim ndo sector walau kdgooo ina opptnty za wtu qwenda qusoma qwa wingi na kupnda cheo soon tu unapoenda qusomaaa so taqew easy coz TEACHING Z A PROFFESSIONAL JOB
 
Komaa na chaki tu mkuu, ualimu mbona unalipa hasa wakati wa sensa na uchaguzi mkuu???
 
ushauri wa nini? Acha kazi uone kazi kupata kazi. Kitaa kinakusubiri
 
Changa changa mkuu ukasomee urubani, chuo kipo Dar siku hizi, PPL (Private Pilot Licence) inacheza kwenye 25m hivi. Ni watu wengi sana huwa wana ndoto ya urubani mkuu sema sera za nchi yetu sio rafiki sana
 
Hawa ndo walimu uchwara wanaofelisha watoto wetu ulifuata nini huko kama ulikuwa hukupendi.

tatizo linaanzia hapo vp kama mpo walimu wa dizaini yako kama 10 katika shule yenye walimu 15, halaf bado manot yanapotezwa kuunda tume kuchunguza kufeli kwa watoto, Nahii inahitaji elimu kubwa kujua hilo?
 
We piga chaki tu mkuu.tanzania watu hawaishi kwa ndoto.
 
Changa changa mkuu ukasomee urubani, chuo kipo Dar siku hizi, PPL (Private Pilot Licence) inacheza kwenye 25m hivi. Ni watu wengi sana huwa wana ndoto ya urubani mkuu sema sera za nchi yetu sio rafiki sana

ukiwa mkubwa unapenda kuwa nani?
jibu: RUBANI / DAKTARI

Hayo ni mawazo ya kitoto... komaaa hapohapo utatoka. Ila usisahau kujiendeleza
 
Ki ukweli mwenzenu ndoto yangu ilikuwa kusomea urubani lakin kutokana na kutofanikiwa kwenda A level,nikaenda UALIMU! Ila c fan yangu.NIFANYAJE?
A level tu ulishindwa kuzama eti uwe rubani labda wa ungo,endelea tu kushika chaki mkuu
 
Tz life hap hainaga formula ndugu so na uwezi qwenda quazima mboga jirani mpaka umalize ya qwaqo qwanzaaaaaa so make sure tu pga mzgo wa yqweli mambo ynywe yatajipa coz ualim ndo sector walau kdgooo ina opptnty za wtu qwenda qusoma qwa wingi na kupnda cheo soon tu unapoenda qusomaaa so taqew easy coz TEACHING Z A PROFFESSIONAL JOB
Na wewe nawe ni great thinker,sa nani aliyekwambia ukiweka hizo Q zako utabadilika jinsia na kuwa wa KIUME
 
ukiona hvyo ujue ualimu ndio fani yako ndio mana ulifeli form four
 
Back
Top Bottom