Mapenzi Kudadenya
Member
- Apr 25, 2020
- 35
- 68
Wanazengo habari zenu
Kama kichwa kinavyojieleza..dogo wa miaka 21 anaesoma chuo kwa sasa mwaka wa pili degree kapata mchongo wa kwenda kwenye kazi za watu za kijeshi..na kazi yenyewe kapata kupitia cheti cha form six..
Je ni busara kuahirisha chuo kwenda huko kuripoti ama kumalizia sehemu ndogo iliyobaki..na kama akiahirisha utaratibu upoje haswa katika kurudi kusoma huko baadae kama akitaka!?