Southern Giant
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 933
- 1,912
Aende kazini atajiendeleza na masomo baadae. Aandike barua ya kuhairisha masomo kwa muda chap
Sawa aangalie ushauri sahihiHajui kipi sahihi ndo maana kaja kuomba ushauri.
Sawa ataenda TRA, asiwe masikini.Kazi za kimasikini hizo