Ushauri kuhusu kuahirisha masomo chuo degree mwaka wa pili

Joined
Apr 25, 2020
Posts
35
Reaction score
68
Wanazengo habari zenu

Kama kichwa kinavyojieleza..dogo wa miaka 21 anaesoma chuo kwa sasa mwaka wa pili degree kapata mchongo wa kwenda kwenye kazi za watu za kijeshi..na kazi yenyewe kapata kupitia cheti cha form six..

Je ni busara kuahirisha chuo kwenda huko kuripoti ama kumalizia sehemu ndogo iliyobaki..na kama akiahirisha utaratibu upoje haswa katika kurudi kusoma huko baadae kama akitaka!?
 
Ana shida yoyote ya kulipia chuo, au kutoweza /kutopenda masomo anayosomea?
 
Tatizo akimaliza chuo kikuu inabidi aende veta! Bora aahirishe aende jeshini maana akimaliza kozi jeshini haendi veta Tena.
 
Sikusema ana shida yoyote, nimeukiza kwa kutaka kujua kama wazo wa kuacha chuo linatikana na shida yoyote ya kulilia ada ama kutopenda/kutoweza masomo.

Kama hakuna shida ni bora amalize masomo kwanza.
Akimaliza chuo hawezi enda jeshini, ndo kapoteza hiyo nafasi. Wewe unaona sawa kwenda VETA?
 
Aende kazini aache wenge. Hicho chuo hakihami, akachukue check number apangiwe kituo aje amalizie kusoma

Huku mtaani hakufai aisee bila ajira
 
Nenda Veta
 
Aende kazini aache wenge. Hicho chuo hakihami, akachukue check number apangiwe kituo aje amalizie kusoma

Huku mtaani hakufai aisee bila ajira
Asipokuekewa basi Tena, mwache acheze LBL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…