Ushauri kuhusu mabinti wawili nilio nao kwenye mahusiano

me pia nipo kwenye hali kama ya kwako mkuu........kuna binti mzuri kiukweli ana miaka 20[ninamzidi kama miaka 5] kwa sasa ila ananipenda sana na yupo radhi afanye chochote ili tu kunifurahisha
ana mambo ya kitoto kidogo kwa mfano hawezi kukushauri jambo lolote la kimaisha zaidi akili yake ime-base kwenye sex tu na kuwaza mambo mengi kuhusu kuoana

ila kuna pisi nyingine ni mwalimu wa secondary na inanipenda kuliko maelezo ananisaidia mambo mengi sana,jana katoka kunilipia ada ya masomo ili niendelee na masomo.......kiukweli ni mtu anaye nipa kampani sana kwenye harakati zangu za kimaisha na kamwe hawezi kuniona nasononeka kivyovyote vile........bado sijamwambia kuwa alinikuta na mahusiano mengine ila ashanifumania nachat na kale kabint aliumia sana,akanambia nifanye yote ila nisijaribu kumuacha


kiukweli nipo njia panda kama ya kwako
 
mkuu inaelekea kampeni za mental health is real huwa hutokei kabisa
Huyo wa kwanza kama kaanza kusumbua nje ya ndoa atakuja kusumbua zaidi akiwa ndani, apigwe tu chini, akijiua kisa mapenzi shauri lake sasa.
 
Wazee fanyeni maisha jamani, mapenzi yapo tu, mnaleta hisia kwenye utafutaji naona, pigini chini hivyo vitoto visivyo na hela, vitakuja kuwakimbia wakikutana na sisi mafogo, shauri zenu.
 
Piga Chini wote hakuna wake hapo
 
Fanya utakalo mkuu, mana tayari una maamuzi yako na huwezi kukubali kushauriwa tofauti na unavyotaka.
Hamna kaka ushauri lazima.
Unapokusanya shauri ndipo unapata wasaa wa kuchanganua maamuzi yako kwa upana.
 
Huyo wa kwanza kama kaanza kusumbua nje ya ndoa atakuja kusumbua zaidi akiwa ndani, apigwe tu chini, akijiua kisa mapenzi shauri lake sasa.
wa kujiua ni wapili ndo mwenye hyo tabia
 
Mke ni mtu ambaye unaweza kuishi naye maisha yako yote. Ni mama wa wanao, sasa usiangalie matatizo ya kiuchumi uliyonayo leo ndio yakakupa sifa za mke. Hakikisha mwanamke unayetaka kumuoa ana sifa za msingi unazohitaji maishani mwako. Usiangalie kalio, chuchu saa sita au uchumi. Hizo ni sifa za muda mfupi.
 
km nguvu za kiume zimo beba wote, maisha ni haya haya usije juta one day enjoy life bado u hai
 
Endelea na uliyemposa, huyo wa kwanza tuachie sisi ila ni booonge la waifu matirio
 
Fanya unipe mmoja kati ya hao ntakusaidia kwa kipindi kifupi.
 
Mkuu wanawake wazuri wapo tena wenye sifa nzuri kikibwa uridhike tu na ulie nae.
 
Aliyeposwa ndio wakwanza.
Unamaanisha wapili apigwe chini?
Namzungumzia huyu hapa
 
Nilikuwa na situation kama hiyo,wakwanza mtoto mdogo Hana elimu kubwa.wapili tumegraduate pamoja na baada ya kumaliza tu akapata kazi bank na kwako yupo njema tu, Ila nilichagua furaha zaidi nikaoa wakwanza ambaye Hana kitu naenjoy now na amenizalia mapacha
 
ushauri bora kabisa

jamaa aridhike tu, kila siku atakutana na wazuri
na siyo lazima wazuri wote wawe wake
 
Kwanza usikilize moyo wako una maamuzi gani kuhusu hiyo scenario..

Sisi ni washauri ila nguvu kubwa unayo mhusika mkuu..

Kitu cha mhim zaid ambacho inabd ukizngatie Utakaye mchagua muwe na Compactability.. Kwasababu ndoa nyingi unazoziona zinavunjika sababu kubwa ni Lack of compactability..


Kukiwa na compactability Udhaifu wa mwezako utautazama katika positite way, inabd ukubali kuyabeba madhaifu yake..

Pamoja na maamuzi utakayo fanya kijana naomba usimuache huyo binti wa kwanza zoez la ndoa liendelee..

Huyo bibi mkubwa kaja kwako kimkakati alafu amekuzidi upevukaji wa akili,,narudia kaa mbali na mwanamke aliyekuzid upevukaji wa akili...

Ukimuacha huyo dogo jiandae kukutana na karma haijalishi itapita miaka mingapi..
Ahsanteeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…