Introverted
Member
- Oct 25, 2022
- 14
- 19
Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia majibu na ninyi nimeona ni watu sahihi kuwauliza na kupata hayo aidha katika kupeana ushauri yafuatayo niyakuzingatia
○Kuhusu mtaji kiukweli nnao mdogo sana ila kwangu sio shaka maana nimejipanga kuanza kidogo kwanza.
○ naendelea kuandaa business plan maana naitazama kwa ukubwa biashara hii.
○ Ombi langu kwenu ni ushauri katika maeneo yafuatayo:

initial capital nahitaji kufungua frame.
sehemu ya soko zuri ambalo naweza kuuza hizo bidhaa
chimbo la kununulia bidhaa hizo kwa hapa dar es salaam.
Kwa walio tayari kunisaidia karibuni sana ndugu zangu.sehemu ya kununulia bidhaa hizo( chimbo)
namna ya kuwafikia wateja