Ushauri kuhusu mashuka, pazia, mito na makapeti

Ushauri kuhusu mashuka, pazia, mito na makapeti

Kwanza Anzia sokoni kwa maana ya wateja wako I.e Utauzia wapi au utauza kwa namna gani ? Au utauza vipi ..
Maana Biashara bila wateja sio Biashara

Step 2 Tafuta Machimbo huko kkoo kwa Bei ya jumla bahati nzuri tuna Kalaga Baho Nongwa mtafute naimani atakupa muongozo mzuri Kulingana na kiasi cha mtaji wako
 
Kwanza Anzia sokoni kwa maana ya wateja wako I.e Utauzia wapi au utauza kwa namna gani ? Au utauza vipi ..
Maana Biashara bila wateja sio Biashara

Step 2 Tafuta Machimbo huko kkoo kwa Bei ya jumla bahati nzuri tuna Kalaga Baho Nongwa mtafute naimani atakupa muongozo mzuri Kulingana na kiasi cha mtaji wako
Nimemuuliza pazia alizoweka geto kanunua kias gan hajajibu. Research yangu mm sio kubwa sana naanza na yey mwenyewe
 
Location: Ungindoni Sokoni.
Kuna mnada kila J4.
Kwa capital yako, nashauri nunua mzigo mchache, Anza kuuza kwenye minada upate experience na kukuza mtaji.
Mnada mwingine uko round about ya Darajani, kila Alhamisi kama sikosei.
 
Chukua machimbo ya biashara ukafanye biashara (Namba za simu 600 za machimbo na location zake)!

KINAUZWA
Kitabu cha Machimbo ya Biashara
Kitabu chenye machimbo 600 ya biashara kwa TSH 15,000 tu!

Kitabu hiki kina namba za simu 600 za wauzaji wa bidhaa kwa bei nafuu, jumla na rejareja.

Jinsi ya kukipata WHATSAPP: 0612607426
CALL: 0687746471

Unaweza kupakua kitabu hiki kupitia link hii:

Kwa msaada wa kupakua, wasiliana kupitia:
WhatsApp: 0612607426
Call: 0687746471

Kitabu kina sura 68 kama ifuatavyo:

Sura ya 1 hadi 5: Machimbo ya nguo za watoto, vifaa vya ofisini (stationery), vifaa vya ujenzi (hardware), dawa (pharmacy), na vinywaji.

Sura ya 6 hadi 10: Kahawa, maremba, vifaa vya mazoezi, miwani, na nywele bandia kama rasta na wigs.

Sura ya 11 hadi 20: Shati za shifoni, viatu, kofia, gauni za usiku, vitambaa vya masofa, hereni na cheni, vyombo vya jikoni, na vifaa vya michezo.

Sura ya 21 hadi 30: Pajamas, balo za mitumba, masweta, maturubai, pipi, jeans, jezi, na vifaa vya kufungashia.

Sura ya 31 hadi 40: Toys, T-shirts, diaper, bidhaa za supermarket, manukato, madera, mitandio, abaya, hijabu, na vitenge.

Sura ya 41 hadi 50: Khanga, vitambaa vya kushona, vipodozi, nguo za watoto, pochi, vifaa vya simu, mikeka, bidhaa za wachina, na sufuria sets.

Sura ya 51 hadi 60: Chupa za maji, midoli, lubricants za magari, maduvets, mashuka, mapazia, majora ya mapazia, T-shirts zinazotrend, na bidhaa za ubuyu wa Zanzibar.

Sura ya 61 hadi 68: Maua artificial, pipi, vifaa vya masofa, bidhaa za mitumba, vifaa vya kuandaa keki, na bidhaa kutoka kwa wachina moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom