Ushauri kuhusu mke wangu kutokubadilika

We jamaa usimsanue acha Kbs
Akisha anza kujiangalia tako kwny dressing table utasota sanaaaaaaaa
 
Kuna muda Mungu anakuepushia majanga ila sasa sisi tunavyoyavuta yaje ni hatarii.. mkuu mwache hivyo hivyo ilimradi anaoga na hanuki jasho
 
Bwana mdogo, mshukuru Mungu sana. Huyo ndiye mke au unataka awe kama haya makunguru ya mjini yanayoanika nyuchi hadharani kwenye vingoma vya uswahilini?....as long as she is humble and respects you let her be na mshukuru Mungu sana.

Just love her dearly. Acha kuvuta majanga kwa kamba yako mwenyewe. Mambo yanaweza yakageuka ukajitundika kwa kamba hiyo hiyo.
 
Achana na hao wanaoleta habari za kuchapiwa kisa mke kupendeza🚮🚮
Unazo asilimia 90 za kumfanyia mabadiliko take her for shopping, choose for her nice clothes, be her designer📌
 
Mkuu mshukuru mungu aisee, ukihitaji abadilike zaidi wajuba wataanza kukugongea mkeo na kisha utakuja kulia tena humu .

Kama anatimiza majukum yake Kama mama Wa familia kikamilifu basi we muache hivyo hivyo , usije ukaanza kujuta bure
Asante sana Kwa ushauri ntafanyia kazi
 
Vitu vidogo hivyo man, mwache kama alivyo atabadilika kidogo kidogo unavyotaka ila usije kujutia...
 
Apendeze kwenye sehemu gani?????

kasheshe ipo kwenye kunenepa na kupungua, mke akinenepa sna na ukitaman apungue hapo ndie kuna mbinde ya hatar [emoji2][emoji23]

Acha basi kumwongelea shemeji yako daah!!
 
Unataka abadilike, siku utamkuta kabadilika kila sikuanaweka miguu juu ya Meza na kujipara kutwa nzima ndo marafiki watakupongeza una mke amebadilika.
 
Nenda nae dukani, mnunulie vitu unavyoona vitampendeza usimkabidhi pesa akanunue mwenyewe.
 
[emoji38][emoji2][emoji2][emoji38]pole skia shukuru sana MUNGU Ila km vipi mnunulie nguo na umuambie a avae hvyooo
Mkuu mwanamke asiyejua kupendeza anakata stimu balaa hujui tu
 
Wewe ni mwanamke ndio maana huwezi elewa. Ila anayokuambia wanaume wameyapitia na kujua mwanamke ni mtu wa trends, sasa akishazianza utajua maana ya dunia chungu. Wanawake wachache sana wanamsimamo thabiti bila kufuata trends za marafiki au mitandaoni, actually mjini. Ndio maana wakamshauri amwache hivyohivyo maana yeye ni binadamu anajua alitakalo na amesimamia nini. Sasa wewe mbadilishe uone kama hutamkumbuka mke mtulivu uliyejaribu kumbadilisha.
 
Kwaujumla umeona wengi waliokupa ushauri wa kusema fanya umbadilishe 90% ni wamawake. Ila adha ya kwako huwezi ijua mpaka uambiwe. Wanaoishi na wanawake na wanaozijua karaha na raha za mwanamke ni mwanaume. Wanawake wengi huongopeana na kusifiana kiunafiki, na wengi hawajui tabia fulani inaathari kiasi gani hata umwambie. Tulizana, mpende mkeo, muache ajibadilishe mwenyewe maana ni binadamu mwenye akili timamu na anajua nini atakalo maishani. Kamwe usiingilie taste yake maisha, ukiingilia utakapoitia dosari, haki utajuta vibaya sana. Mwanamke ulimpenda hivyohivyo huko kijijini, leo ndio umbadilishe upya awe wa mjini ndio umpende, basi huyo mke ulitafutiwa lasivyo control tamaa zako za mwili, atakuja kuzigundua siku, sababu unatamani mwanamke wa hivyo ndio maana unataka awe hivyo.
 
Binadamu wote ambao wanaishi kweny asili zao hawana changamoto sana Kam ambao wameondoka kweny asili zao wew Kam unataka mkeo aje kuvuluga kichwa chako mbadilishe
 
Sawa lakini ni mtazamo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…