Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
We jamaa usimsanue acha Kbs
Akisha anza kujiangalia tako kwny dressing table utasota sanaaaaaaaa

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana mdogo, mshukuru Mungu sana. Huyo ndiye mke au unataka awe kama haya makunguru ya mjini yanayoanika nyuchi hadharani kwenye vingoma vya uswahilini?....as long as she is humble and respects you let her be na mshukuru Mungu sana.Habari za Leo
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nimeoa na kubahatika kupata watoto wawili.
Nimeoa takribani miaka 6 iliyopita na mke wangu nilimtoa kijijini kutokana na hali yangu ya uchumi haikua sawa.
Changamoto iliyofanya kuandika huu uzi ni kwamba mke wangu habadiliki kabisa, ule ushamba wa kijijini bado anao. Nimejitahidi sana kumjali, kumpa pesa lakini habadiliki kabisa kuanzia uvaaji na hata kupendeza kitu ambacho hupelekea mimi kupata aibu kwa sababu inaonekana kama natesa familia.
Nimejitahidi kumpatia sehemu biashara zangu ili apate pesa na kununua baadhi ya mahitaji ya kujipendezesha lakini hakuna kitu.
Binafsi nampenda sana mke wangu, ni mpole na siyo msaliti ila nataka apendeze zaidi. Naombeni ushauri kama kuna njia naweza tumia ili mke wangu awe mzuri, bora na hadhi na apendeze. Inafika mpaka anazidiwa na wafanyakazi wangu tuliowaweka katika biashara.
Monica ni wa katibu mkuuAkibadilika tu atakuwa Monica wa shepherd
Asante sana Kwa ushauri ntafanyia kaziMkuu mshukuru mungu aisee, ukihitaji abadilike zaidi wajuba wataanza kukugongea mkeo na kisha utakuja kulia tena humu .
Kama anatimiza majukum yake Kama mama Wa familia kikamilifu basi we muache hivyo hivyo , usije ukaanza kujuta bure
Vitu vidogo hivyo man, mwache kama alivyo atabadilika kidogo kidogo unavyotaka ila usije kujutia...Habari za Leo
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nimeoa na kubahatika kupata watoto wawili.
Nimeoa takribani miaka 6 iliyopita na mke wangu nilimtoa kijijini kutokana na hali yangu ya uchumi haikua sawa.
Changamoto iliyofanya kuandika huu uzi ni kwamba mke wangu habadiliki kabisa, ule ushamba wa kijijini bado anao. Nimejitahidi sana kumjali, kumpa pesa lakini habadiliki kabisa kuanzia uvaaji na hata kupendeza kitu ambacho hupelekea mimi kupata aibu kwa sababu inaonekana kama natesa familia.
Nimejitahidi kumpatia sehemu biashara zangu ili apate pesa na kununua baadhi ya mahitaji ya kujipendezesha lakini hakuna kitu.
Binafsi nampenda sana mke wangu, ni mpole na siyo msaliti ila nataka apendeze zaidi. Naombeni ushauri kama kuna njia naweza tumia ili mke wangu awe mzuri, bora na hadhi na apendeze. Inafika mpaka anazidiwa na wafanyakazi wangu tuliowaweka katika biashara.
Apendeze kwenye sehemu gani?????
kasheshe ipo kwenye kunenepa na kupungua, mke akinenepa sna na ukitaman apungue hapo ndie kuna mbinde ya hatar [emoji2][emoji23]
Ahahahahahahah! Kabisa,amwache tu na hali yakeMuache hivyo hivyo. Akibadilika utakuja kutulilia humu kwamba katibu mkuu kapita nae halafu unalea mwana wa mwenzio.
Unataka abadilike, siku utamkuta kabadilika kila sikuanaweka miguu juu ya Meza na kujipara kutwa nzima ndo marafiki watakupongeza una mke amebadilika.Habari za Leo
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 35 nimeoa na kubahatika kupata watoto wawili.
Nimeoa takribani miaka 6 iliyopita na mke wangu nilimtoa kijijini kutokana na hali yangu ya uchumi haikua sawa.
Changamoto iliyofanya kuandika huu uzi ni kwamba mke wangu habadiliki kabisa, ule ushamba wa kijijini bado anao. Nimejitahidi sana kumjali, kumpa pesa lakini habadiliki kabisa kuanzia uvaaji na hata kupendeza kitu ambacho hupelekea mimi kupata aibu kwa sababu inaonekana kama natesa familia.
Nimejitahidi kumpatia sehemu biashara zangu ili apate pesa na kununua baadhi ya mahitaji ya kujipendezesha lakini hakuna kitu.
Binafsi nampenda sana mke wangu, ni mpole na siyo msaliti ila nataka apendeze zaidi. Naombeni ushauri kama kuna njia naweza tumia ili mke wangu awe mzuri, bora na hadhi na apendeze. Inafika mpaka anazidiwa na wafanyakazi wangu tuliowaweka katika biashara.
Mkuu mwanamke asiyejua kupendeza anakata stimu balaa hujui tu[emoji38][emoji2][emoji2][emoji38]pole skia shukuru sana MUNGU Ila km vipi mnunulie nguo na umuambie a avae hvyooo
a is eenilimtoa kijijini kutokana na hali yangu ya uchumi haikua sawa.
Wewe ni mwanamke ndio maana huwezi elewa. Ila anayokuambia wanaume wameyapitia na kujua mwanamke ni mtu wa trends, sasa akishazianza utajua maana ya dunia chungu. Wanawake wachache sana wanamsimamo thabiti bila kufuata trends za marafiki au mitandaoni, actually mjini. Ndio maana wakamshauri amwache hivyohivyo maana yeye ni binadamu anajua alitakalo na amesimamia nini. Sasa wewe mbadilishe uone kama hutamkumbuka mke mtulivu uliyejaribu kumbadilisha.Mnunulie nguo ambazo binafs akivaa unaona utavutiwa kuhusu kusuka kama unapenda mpelekee saluni mchagulie nywele nzuri au ongea na msusi amsuke msifie sana Yani msifie Kila baada ya dakika akiona ndo kitu unapenda atabadilika huenda hajui nn afanye
Piga show za uhakika
Achana na Hao et atabadilika Malaya Malaya tu hata huko vijijin wanawake Malaya wapo na watu wameoa wanawake walioona sio washamba na Bado wamepigwa na vitu vizito
Sawa lakini ni mtazamo wanguWewe ni mwanamke ndio maana huwezi elewa. Ila anayokuambia wanaume wameyapitia na kujua mwanamke ni mtu wa trends, sasa akishazianza utajua maana ya dunia chungu. Wanawake wachache sana wanamsimamo thabiti bila kufuata trends za marafiki au mitandaoni, actually mjini. Ndio maana wakamshauri amwache hivyohivyo maana yeye ni binadamu anajua alitakalo na amesimamia nini. Sasa wewe mbadilishe uone kama hutamkumbuka mke mtulivu uliyejaribu kumbadilisha.