Hassani Iddi
Member
- Mar 30, 2018
- 9
- 11
Habari wakuu, ninatatzo limenipata naomben nijue tafadhli,,mke wangu alikuwa na mimba ya miezi 6na wiki 2,maendeleo ya mimb na mama ylikuwa mazuri,lkn siku mbili nyuma alikuwa akilalamika maumivu ya tumbo na alipoenda hosptl aliambiwa mtoto amefariki tumboni,,lkn walipomchukua vipomo ilikujua chanzo vipimo vyote vinaonyesha mama hakuwa na tatzo lolote nje wala ndani ya tumbo lake na mtoto hakuwa na shida yyte ile tumboni na amekaa kama alivyo ila mapigo ya moyo ndo hayapigi hivyo tumepewa ushauri turudi hosptl baada ya wiki.
Na siku tunapewa taarifa ya mtoto kufariki tumbo la mama lilinywea likawa dogo na kitovu kilirudi ndani na hakuwa anahisi uzito wwote,,lkn baada ya kulala asubh tumbo lilirudi vilevile kma mjamzito na akawa anahisi uzito tumboni na kotovu kilitoka vilevile kma alivyokuwa na mimba lkn mtoto hamsikii kuchza na yeye haumwi popote ni mzima na shghl zake anauwezo wakufanya.
Shida yngu natka kujua mtoto anapokuwa amefariki tumbo hali gani inakuwepo kwa mama mjamzito either kuhis kuumwa sehem mbalimbli za mwili wake au tumbo lake linakuwaje kwa kipindi hiko,,msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app