M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Na mambo haya ya tochi barabarani kununua gari kwa ajili ya speed ni uppuz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu iko powa sana hiyo gari juu ya ulaji wa mafuta iko vizuri sanaa.juu ya spea wanakutisha tuu wengi spare zao huwa wananunua used za kwamtogole kutoka kwenya magari chakavuu au yanayo katwa katwa kama chuma chakavuu.mtu ananunua gari laki 3 gari ya ajari unafikiri spare hapo itakuwa bei gani??Kama kichwa kinavyo sema hapo juu nataka kununua gari aina ya nissan march ila nataka ushauri vip kuhusu spare,ulaji wa mafuta,high way stability,speed na uimara.![]()
![]()
acha uongo ww ushawahi miliki hilo gari au naww ndio wale wale wazushiKama una mwembe wa kushindia nyumbani kwako basi nunua Nissan March, ikianza ugonjwa wa kugonga kwenye Engine basi utakuwa unashinda kwenye mwembe na kubadilisha mafundi utakavyo, kweli kiwese ni kunusa tu upo Morogoro
Mkuu jiunge comedy,just kidding.Ungeishia kuandika red tu ungekuwa umeongea kwa lugha ya mafumbo na wengine wasingeelewa.Nimejikuta nachekaKama una mwembe wa kushindia nyumbani kwako basi nunua Nissan March, ikianza ugonjwa wa kugonga kwenye Engine basi utakuwa unashinda kwenye mwembe na kubadilisha mafundi utakavyo, kweli kiwese ni kunusa tu upo Morogoro
gari ya ndoa ya kiislam ni ipiHiyo GARI ni ya uongo ndoa ya kikristoo
Toyota zote spare hadi ya buku ushindwe wewe tugari ya ndoa ya kiislam ni ipi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toyota zote spare hadi ya buku ushindwe wewe tu
Na ndiyo magari yanayoongoza Kwa kuibiwa SpeaToyota zote spare hadi ya buku ushindwe wewe tu
Mkuu tunaomba mrejesho wa Nissan marchNilichoona hapo ni kwamba wale walowahi kumiliki wamesema iko poa..wengine wanayoiponda ni wale ambao hawajamiliki ndo mana nikachukua uamuzi huu mkuu
Hichii kigari kina uzuri wake ndani Ila inapo chosha kwenye spear parts ndo kipengele bei sanaaKama kichwa kinavyo sema hapo juu nataka kununua gari aina ya nissan march ila nataka ushauri vip kuhusu spare,ulaji wa mafuta,high way stability,speed na uimara.![]()
![]()