Ushauri kuhusu Nissan March k12

Ushauri kuhusu Nissan March k12

Kama kichwa kinavyo sema hapo juu nataka kununua gari aina ya nissan march ila nataka ushauri vip kuhusu spare,ulaji wa mafuta,high way stability,speed na uimara.
b021a2040d3dbf4304e2e54994e9b76a.jpg
47325fa3ddb89e0e1587e8f86185cc14.jpg
mkuu iko powa sana hiyo gari juu ya ulaji wa mafuta iko vizuri sanaa.juu ya spea wanakutisha tuu wengi spare zao huwa wananunua used za kwamtogole kutoka kwenya magari chakavuu au yanayo katwa katwa kama chuma chakavuu.mtu ananunua gari laki 3 gari ya ajari unafikiri spare hapo itakuwa bei gani??
 
Kama una mwembe wa kushindia nyumbani kwako basi nunua Nissan March, ikianza ugonjwa wa kugonga kwenye Engine basi utakuwa unashinda kwenye mwembe na kubadilisha mafundi utakavyo, kweli kiwese ni kunusa tu upo Morogoro
acha uongo ww ushawahi miliki hilo gari au naww ndio wale wale wazushi
 
Kama una mwembe wa kushindia nyumbani kwako basi nunua Nissan March, ikianza ugonjwa wa kugonga kwenye Engine basi utakuwa unashinda kwenye mwembe na kubadilisha mafundi utakavyo, kweli kiwese ni kunusa tu upo Morogoro
Mkuu jiunge comedy,just kidding.Ungeishia kuandika red tu ungekuwa umeongea kwa lugha ya mafumbo na wengine wasingeelewa.Nimejikuta nacheka
 
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu nataka kununua gari aina ya nissan march ila nataka ushauri vip kuhusu spare,ulaji wa mafuta,high way stability,speed na uimara.
b021a2040d3dbf4304e2e54994e9b76a.jpg
47325fa3ddb89e0e1587e8f86185cc14.jpg
Hichii kigari kina uzuri wake ndani Ila inapo chosha kwenye spear parts ndo kipengele bei sanaa
 
Back
Top Bottom