Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Habari.
Siku ya Leo tar 24/01/2022 nimefika katika Tawi la NMB Kwa lengo la kutoa pesa kwenye ATM machine ya pale.
Nimeingiza Kadi na kufuata process zote lakin machine haikutoa pesa ilihali SMS ya muamala nilipata.
Nilivyomuuliza mlinzi akanambia niingie ndan ya Tawi ambako nilipewa form na kuambiwa nisubir masaa 24.
Ninaomba ushauri maana tatizo hilo limeniletea usumbufu mkubwa na ninatakiwa kuingia gharama zingine kufuatilia pesa hizo.
NMB nimewahoji kuhusiana na ni nani Kati ya Mimi na wao anayepaswa kubeba gharama za usumbufu huo wanasema nibebe Mimi ilihali tatizo ni la mfumo wao.