Ushauri kuhusu NMB

We nenda hapo argue, mwone manager na kila mtu, mnakuwa Wapole na wajinga kila siku hata ku argue mnashindwa Jaman?
 
Kama ni Visa au Mastercard utatumia nchi yoyote kwenye ATM zenye mfumo huo
Kwa uzoefu wangu kama una kadi zile za Visa au Mastercard utaweza kutoa hela ambayo ipo kwenye account yako hata ukiwa nje ilimradi tu upate ATM yenye Visa au Mastercard kulingana na card yako.
Inawezekana ndio, nadhani crdb wana kadi zao zinakuwezesha kufanya miamala!
Nawakubali wanangu wa faida nyingi, naomba mjibu na hili swali πŸ‘‡
Kwahyo hela zitakua converted moja kwa moja na dollar ya nchi husika?
mana pia nataka kujua vipi kama nimeweka pesa za tz je nikifika huko nitatoaje au niliweka kwa dollar je nikirudi tz nitatoa kwa mfumo wa dollar kama nilivoweka au itakuaje
 
Ukirudishiwa hiyo Pesa tafadhali toa 10% ya Kumtolea Sadaka ( Fungu ) Mwenyezi Mungu ili Mabalaa na Matatizo mengine yasikupate au hata Kukunyemelea.
 
We nenda hapo argue, mwone manager na kila mtu, mnakuwa Wapole na wajinga kila siku hata ku argue mnashindwa Jaman?
Nadhan hujasoma ukanielewa. Tatizo sio kurudishiwa pesa.
 
Update : pesa nilirudishiwa baada ya masaa nane.
Nilichojifunza ni kuwa NMB wanarespond haraka ukiwafuata online Kama Messenger, jamiiforum na kuwatumia mail.

Ukiwa na tatizo nao fuata process za kwenye Tawi Lao lakin usiishie hapo wafuate pia WhatsApp, messenger na kwenye mawasiliano Yao mengine.

Lengo la kufidiwa gharama za usumbufu sijafanikisha maana mda hauniruhusu kufuatilia Hilo.
 
africa hakunaga kitu kinachoitwa gharama za usumbufu.
 
Nawakubali wanangu wa faida nyingi, naomba mjibu na hili swali πŸ‘‡

mana pia nataka kujua vipi kama nimeweka pesa za tz je nikifika huko nitatoaje au niliweka kwa dollar je nikirudi tz nitatoa kwa mfumo wa dollar kama nilivoweka au itakuaje
Pesa itatoka kwa hela ya nchi husika ( ulipo) kama upo India itatoka Ruppee kwa kiwango utakachoandika kwenye ATM ambacho wewe itajitaji kuchukua, ikiwa salio lako likithaminishwa kwa pesa hiyo linatosha.
 
Nashukuru sana mzee wangu, nmekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…