Godoro zote ni Tanfoam,moja ina spring na nyingine haina.Chukua ilo ilo tanfom
Godoro zote ni Tanfoam boss...moja ina spring inaitwa Lolita na nyingine haina spring inaitwa Premium...hii isiyo na spring ni gharama zaidi.Tanfoam atatumia mpaka kitukuu
TUMIA TAMFOAM LENYE SPRING HUTOJUTIA MM SIWEZI KULALIA GODORO LINGINE HATA KAMA IKITOKEA NIKAHAMIA ULAYA NITAAGIZA TANFOAM WANILETEE NA NDEGE YA KODI ZETU AIR TANZANIA OVAWakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring. Nimegundua nahitaji kupata uzoefu kwa watumiaji kabla sijajunua. Karibuni kushare experience.
Asante mkuu na mimi ndio ilikuwa option yangu,lakini baada ya kufika kwa wakala nimekutana na hiyo option nyingine ambayo wanasema ndio inatumika mpaka kwenye hotels kubwa,bei yake ni kubwa kuliko la spring.Zote zina warranty ya maisha.TUMIA TAMFOAM LENYE SPRING HUTOJUTIA MM SIWEZI KULALIA GODORO LINGINE HATA KAMA IKITOKEA NIKAHAMIA ULAYA NITAAGIZA TANFOAM WANILETEE NA NDEGE YA KODI ZETU AIR TANZANIA OVA
Mkuu hilo la spring experience yake ipoje ukilalia?TUMIA TAMFOAM LENYE SPRING HUTOJUTIA MM SIWEZI KULALIA GODORO LINGINE HATA KAMA IKITOKEA NIKAHAMIA ULAYA NITAAGIZA TANFOAM WANILETEE NA NDEGE YA KODI ZETU AIR TANZANIA OVA
😂😂😂😂 Kuna nini huko boss?Fanya ufanyalo, usinunue GSM tu….
Ha! Ha!TUMIA TAMFOAM LENYE SPRING HUTOJUTIA MM SIWEZI KULALIA GODORO LINGINE HATA KAMA IKITOKEA NIKAHAMIA ULAYA NITAAGIZA TANFOAM WANILETEE NA NDEGE YA KODI ZETU AIR TANZANIA OVA
Nilijichanganya nikanunua ARUSHA DELUXE...ndio sababu leo nimerudi kutafuta godoro lingine.Fanya ufanyalo, usinunue GSM tu….
Ogopa matapeli… hata miezi mitatu haipiti lishabonyea katikati😂😂😂😂 Kuna nini huko boss?
Asante kwa ushauri boss,lakini Tanfoam premium na Lolita warranty yake ni ya maisha yoteNunua hata vita supreme nayo yakopoa sana ila bei imechangamka sana na warranty zao huanzia miaka 7
kweli una muda wa kuuchezea, na hilo ni la kuleta humu? Mbona mmekuwa mazuzu hivyo?Wakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring. Nimegundua nahitaji kupata uzoefu kwa watumiaji kabla sijajunua. Karibuni kushare experience.
Inawezekana wewe ndio ukawa zuzu namba moja.kweli una muda wa kuuchezea, na hilo ni la kuleta humu? Mbona mmekuwa mazuzu hivyo?
na wew umefuata nin hap kam hauna muda wa kuchezea ..mtu kaja kupata ushauri wa lipi godoro zuri alafu wew unakuja kutapika vitu vya ajabu au ulijua jf ni kwa ajili ya nini mkuukweli una muda wa kuuchezea, na hilo ni la kuleta humu? Mbona mmekuwa mazuzu hivyo?