Ushauri kuhusu uchaguzi wa godoro bora

Ahsante kwa huu uzoefu wako
 
Nimenunua Tanfoam PREMIUM MATTRESS,watu wa Tanfoam wenyewe wamenishauri nichukue hili,wanasema hata hotels kubwa nyingi ndio chaguo lao.Actually ndio nimepanda kitandani kulilalia kwa mara ya kwanza. Karibu
FINE ME TANFOAM IS MY FAVOURITE
 
TUMIA TAMFOAM LENYE SPRING HUTOJUTIA MM SIWEZI KULALIA GODORO LINGINE HATA KAMA IKITOKEA NIKAHAMIA ULAYA NITAAGIZA TANFOAM WANILETEE NA NDEGE YA KODI ZETU AIR TANZANIA OVA
πŸ˜€
 
Kuna godoro ni gumu utasema kitandani umepanga tofali ni kampuni gani hile[emoji23]
Miaka ya nyuma nililinunua la Super Banco baada ya kushsuriwa na fundi, tena nililifuata mwenyewe kiwandani! Mbona nilikomaπŸ˜€

Mwanzoni lilikuwa gumu, ukililalia utafikiri umelala juu ya "sakafu", na baada ya muda likawa linabonyea lakini "halinesi"

Lilikuwa godoro la "hovyo" kuwahi kulimiliki.
 
Waafrika iwanafikiria kulala tu, badala ya kupeana deal za pesa wao wanapeana deal za kupiga usingizi
Wakati wa kazi iwe kazi kweli kweli, na wakati.wa kulala, ulale usingizi bora

Usingizi bora ni muhimu kwa afya ya akili na mwili.

Afya bora huchangia ufanisi mzuri kwenye kazi.

Na ili update usingizi bora, unahitaji kitanda kizuri. Na godoro zuri ni sehemu ya kitanda kizuri.

Godoro la Tanfoam ndilo godoro bora linalotengenezwa Tanzania.
 
Nimenunua Tanfoam PREMIUM MATTRESS,watu wa Tanfoam wenyewe wamenishauri nichukue hili,wanasema hata hotels kubwa nyingi ndio chaguo lao.Actually ndio nimepanda kitandani kulilalia kwa mara ya kwanza. Karibu
Umelionaje?
 
Mimi pia nilishajipanga kununua VITA SUPREME nilishauriwa kuwa haliumizi mgongo.
Sasa hawa wamekuja na hoja za Tanfoam wananichanganya hapa.
Ngoja niendelee kusoma comments za waja.
πŸ˜€
 
Waafrika iwanafikiria kulala tu, badala ya kupeana deal za pesa wao wanapeana deal za kupiga usingizi
Kwani mkipeana deals za pesa hamtalala? Kwamba deal za pesa zonaondoa usingizi? Akili zingine duh [emoji1787]
 
Wakuu,

Anayeweza nisaidia kupata godoro la TanFoam (Orthopaedic) la spring 5 x 6 au kuniconnect na muuzaji.

Mahali : Nzega - Tabora.

Nicheck WhatsApp : 0612332310.

Sababu ya kuja hapa : nimetafuta bila mafanikio Nzega na maduka ya karibu Tabora. Pia nimevutiwa na discussion ya huu uzi, nategemea kupata msaada
 
Habari ya siku mkuu, ukirejea utakumbuka ulisema usiku mmoja hautoshi kutoa mrejesho. Nadhani sasa una confidence kidogo ya kutoa mresho. Tunaomba ili na sisi tufanye maamuzi sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…