Kwa pesa hiyo tafuta gari isiyozidi sh 5 milHabari ndugu zangu,
Ninamshukuru Mungu kwa namna ya pekee kuungana na familia hii kubwa iliyo jaa watu makini. Naomba nami nitumie nafasi hii kuomba ushauri. Nina kiasi cha 9M na nahitaji kuagiza gari Japan, nimeona magari mengi mtandaoni, mf. suzuki swift, cami,corolla runx n.k, mimi nataka gari yenye cc mx 2000. ni gari gani ambayo inamfaa mwaume, maana watu bwana, mara ooh! hiyo ya kike ooh! hicho kidogo sana ss nachanganyikiwa ni nunue gari gani la kiumme?
Naomba kuwasilisha ndugu zangu
Asante br, tatizo la bongo watu wapigaji sana, under 5M c nitapa gari choka mbaya,Kwa pesa hiyo tafuta gari isiyozidi sh 5 mil
Usiagize japan nunua humuhumu nchini
Tafuta fundi alikague.
USHAURI NI BURE
br thax ngoja niichunguze hiyo garCami miyeyusho kaka ikichoka haiuziki... Jichange kidogo vuta kitu cha Carina Ti am sure utajanishukuru.. Karibu kwenye uchawi pekee wa mzungu... Ambao mademu hawaluki.
Ukitaka kufaidi bmw nunua mpya. Achana na used, utakufa nalo na pia ni magumu kuyauza.BMW siipati vzr, unaweza nipa specification zake?
mmh!Ukitaka kufaidi bmw nunua mpya. Achana na used, utakufa nalo na pia ni magumu kuyauza.
Utapata gari zuri tu,Asante br, tatizo la bongo watu wapigaji sana, under 5M c nitapa gari choka mbaya,
Tatizo la cami spea zake ziko juu sana mkuu..Karibu kwenye ulimwengu wa kutembea huku umekaa.
Chukua Cami mdau, naona imekaa kiuchumi na pia iko juu kidogo kwa mwanaume naona ni poa sana.
Kila la kheri
Ukitaka kufaidi bmw nunua mpya. Achana na used, utakufa nalo na pia ni magumu kuyauza.
Ukitaka kufaidi bmw nunua mpya. Achana na used, utakufa nalo na pia ni magumu kuyauza.
Hongera mkuu kwa wazo zuri. Ila kwa pesa yako na saizi ya cylinder unazotaka si dhani kama utapata gari zuri. Pili, kama umeamua kutumia gari basi usiangalie nani atakwambia nini juu ya gari lako maana wisho wa siku msalaba( mafuta+ matengenezo) ni juu yako. Kumbuka tafuta gari kulingana na mahitaji yako na kipato. Lengo la gari ni likusaidie sio likufanye mtumwa.Habari ndugu zangu,
Ninamshukuru Mungu kwa namna ya pekee kuungana na familia hii kubwa iliyo jaa watu makini. Naomba nami nitumie nafasi hii kuomba ushauri. Nina kiasi cha 9M na nahitaji kuagiza gari Japan, nimeona magari mengi mtandaoni, mf. suzuki swift, cami,corolla runx n.k, mimi nataka gari yenye cc mx 2000. ni gari gani ambayo inamfaa mwaume, maana watu bwana, mara ooh! hiyo ya kike ooh! hicho kidogo sana ss nachanganyikiwa ni nunue gari gani la kiumme?
Naomba kuwasilisha ndugu zangu
Used kanunue ya Mjapani, wenzako wananunua mapya ya Mjerumani.mmh!
Na funcargo pia, cc 1420.Kwa pesa yako angalia CAMI au spacio
Hongera mkuu kwa wazo zuri. Ila kwa pesa yako na saizi ya cylinder unazotaka si dhani kama utapata gari zuri. Pili, kama umeamua kutumia gari basi usiangalie nani atakwambia nini juu ya gari lako maana wisho wa siku msalaba( mafuta+ matengenezo) ni juu yako. Kumbuka tafuta gari kulingana na mahitaji yako na kipato. Lengo la gari ni likusaidie sio likufanye mtumwa.
ngoja niicheki na hiyofuncargo
Toyota cami ni gari nzuri sana gari yeyote ikichoka haiuziki hata ingekuwa hammer ,, cami ni gari nzuri sana halafu kwa vinjia vyetu ipo juu halafu haili mafuta, hiyo cami iliyo choka ipo wapi wakati cami mi version kutoka daihatsu terios ambazo na zenyewe ni nzuri na ngumu sana tu halafu zipo juu so hufikirii matuta,lakini pia tumia ushauri wa watu kujifunza kitu na sio kutumia ushauri huo kufanya maamuzi coz kila mtu ataongelea alicho nacho yeye na kukisifia, mwingine atakuja kukwambia (kobe) vox wagon/combi ipo poa ,kwa vile yeye anayo, mwingine atakwambia tractor nk. Tizama kwanza uhitaji wako kwenye gari ninini then chukua linalo kidhi haja yako.br thax ngoja niichunguze hiyo gar