Ushauri kuhusu uchaguzi wa magari

Ushauri kuhusu uchaguzi wa magari

Habari ndugu zangu,

Ninamshukuru Mungu kwa namna ya pekee kuungana na familia hii kubwa iliyo jaa watu makini. Naomba nami nitumie nafasi hii kuomba ushauri. Nina kiasi cha 9M na nahitaji kuagiza gari Japan, nimeona magari mengi mtandaoni, mf. suzuki swift, cami,corolla runx n.k, mimi nataka gari yenye cc mx 2000. ni gari gani ambayo inamfaa mwaume, maana watu bwana, mara ooh! hiyo ya kike ooh! hicho kidogo sana ss nachanganyikiwa ni nunue gari gani la kiumme?

Naomba kuwasilisha ndugu zangu
Kwa pesa hiyo tafuta gari isiyozidi sh 5 mil
Usiagize japan nunua humuhumu nchini
Tafuta fundi alikague.
USHAURI NI BURE
 
Cami miyeyusho kaka ikichoka haiuziki... Jichange kidogo vuta kitu cha Carina Ti am sure utajanishukuru.. Karibu kwenye uchawi pekee wa mzungu... Ambao mademu hawaluki.
 
Kwa pesa hiyo tafuta gari isiyozidi sh 5 mil
Usiagize japan nunua humuhumu nchini
Tafuta fundi alikague.
USHAURI NI BURE
Asante br, tatizo la bongo watu wapigaji sana, under 5M c nitapa gari choka mbaya,
 
Wadau nashukuru sana kwa ushauri wenu, nimepata kitu, nafikilia kuongeza 3M ili nipate gari nzuri zaidi, ukizingatia kwa sasa fedha yetu iko chini dhidi ya dola, nikiwa na 12M nadhani itani wezesha kuta gari nzuri zaidi, kuhusu kununua hapa tz sikirii kabsa, kuna mzee wangu fulan alinunua gari Dar, ametumia miezi sita tu gari ina mtesa mpaka basi, ameamua kulitundika juu ya mawe, wa bongo wanajali fedha zaidi.
 
Cami miyeyusho kaka ikichoka haiuziki... Jichange kidogo vuta kitu cha Carina Ti am sure utajanishukuru.. Karibu kwenye uchawi pekee wa mzungu... Ambao mademu hawaluki.
br thax ngoja niichunguze hiyo gar
 
Kwa sisi wabongo na uchumi wetu zetu ni Toyota tuu hizo BMW Nissan Mitsubishi Suzuki tuwaachie wenye hela zao...
 
jomba hyo mil 9 afu unataka uagize gar ? unajua magar sa hv ni sh ngap ? bora usingependekeza aina ya gar!
 
Ukitaka kufaidi bmw nunua mpya. Achana na used, utakufa nalo na pia ni magumu kuyauza.

Umeongea kitu unachokifaham Mkuu? BMW zero Km unajua ni sh. Ngapi? Tz nzima walionunua bmw ikiwa mpya sidhani hata kama 20 wanafika.
 
Habari ndugu zangu,

Ninamshukuru Mungu kwa namna ya pekee kuungana na familia hii kubwa iliyo jaa watu makini. Naomba nami nitumie nafasi hii kuomba ushauri. Nina kiasi cha 9M na nahitaji kuagiza gari Japan, nimeona magari mengi mtandaoni, mf. suzuki swift, cami,corolla runx n.k, mimi nataka gari yenye cc mx 2000. ni gari gani ambayo inamfaa mwaume, maana watu bwana, mara ooh! hiyo ya kike ooh! hicho kidogo sana ss nachanganyikiwa ni nunue gari gani la kiumme?

Naomba kuwasilisha ndugu zangu
Hongera mkuu kwa wazo zuri. Ila kwa pesa yako na saizi ya cylinder unazotaka si dhani kama utapata gari zuri. Pili, kama umeamua kutumia gari basi usiangalie nani atakwambia nini juu ya gari lako maana wisho wa siku msalaba( mafuta+ matengenezo) ni juu yako. Kumbuka tafuta gari kulingana na mahitaji yako na kipato. Lengo la gari ni likusaidie sio likufanye mtumwa.
 
aminia sana ndugu
 
br thax ngoja niichunguze hiyo gar
Toyota cami ni gari nzuri sana gari yeyote ikichoka haiuziki hata ingekuwa hammer ,, cami ni gari nzuri sana halafu kwa vinjia vyetu ipo juu halafu haili mafuta, hiyo cami iliyo choka ipo wapi wakati cami mi version kutoka daihatsu terios ambazo na zenyewe ni nzuri na ngumu sana tu halafu zipo juu so hufikirii matuta,lakini pia tumia ushauri wa watu kujifunza kitu na sio kutumia ushauri huo kufanya maamuzi coz kila mtu ataongelea alicho nacho yeye na kukisifia, mwingine atakuja kukwambia (kobe) vox wagon/combi ipo poa ,kwa vile yeye anayo, mwingine atakwambia tractor nk. Tizama kwanza uhitaji wako kwenye gari ninini then chukua linalo kidhi haja yako.
 
Back
Top Bottom