cobe da pixel
Senior Member
- Jul 12, 2014
- 101
- 61
naombeni ushauri wenu wana jf,mm nataka nianze uchimbaji wa madini kama mchimbaji mdogo ila bado sijajua nimadini gani yanayolipa na kumtoa mtu, pia nisehemu gani yanapopatikana kwa wingi.naomben mniongoze njia wana jf
usikimbilie kuchimba ruby na aina yoyote ya gemstones ushauri wangu kwako anzia kwenye cheap stones au semi precious stones mawe ukatayo uza kwa kg, angaliaa kwa undani zaidi ufanyeasante sana GEBA2013, mm nlikuwa nataka nchibe kwa mguvu zangu, sasa kama nataka kuchimba gemstone(haswa ruby) hii ina kuwaje? na inapatikana wapi kwa wing apa tz?, je! soko lake linapatikana kwa haraka?
naomba unipe ugumu wake ilinijue jinsi ya kujipanga, namaeneo yanapopatkana kwa wng plsusikimbilie kuchimba ruby na aina yoyote ya gemstones ushauri wangu kwako anzia kwenye cheap stones au semi precious stones mawe ukatayo uza kwa kg, angaliaa kwa undani zaidi ufanye
usikimbilie kuchimba ruby na aina yoyote ya gemstones ushauri wangu kwako anzia kwenye cheap stones au semi precious stones mawe ukatayo uza kwa kg, angaliaa kwa undani zaidi ufanye
asante sana GEBA2013, mm nlikuwa nataka nchibe kwa mguvu zangu, sasa kama nataka kuchimba gemstone(haswa ruby) hii ina kuwaje? na inapatikana wapi kwa wing apa tz?, je! soko lake linapatikana kwa haraka?
hivi felispa mikanda ya uhakika ipo miji gani ukitoa kitange?
ndio mrangi nmekupata bt unge kuwa open katka swala zima la ugumu wake maana icho ndicho nachokitaka,kwa kuwa naona kabisa kwamba naipenda xana hii kaz, pls nfungue macho
hamna chimbo la ruby nzuri hapa tz ambalo halimilikiwi, labda ufanye utafiti wa eneo jipya, jaribu kufuatilia mpwapwa na karatu kulikuwa na milio mwanzo wa mwaka.
mkuu vifaa vya kupimia dhahabu kama ni fake ama original vinauzwaje? ama upatikanaji wake ukoje?unataka uchimbe au kununua?sbb kila idara inachangamoto zake.madini yakumtoa mtu pesa ndefu ni gemstone ila kupatikana ni bahati inataka uvumilivu,gold ni nzuri sbb inapatikana maeneo mengi haisumbui,ila kupata pesa ndefu ni bahati uzuri wake njaa hufi,,km unataka gold chimba ya mwamba japo inahitaji mtaji mkubwa
embu endelea kumbembeleza mchizi basi maana asipo kuonesha sio ndiokwamba itampotezea uchungu bt atakuwa anapishana na hela kama una weza na pm namba yake mi nmpange may be ataelewa tu!Mkuu mrangi kuna chodo la green tormaline pande hizo hizo mdau mmoja kanielekeza. Anadai mwaka juzi walienda na jamaa yake wakatoa kama kilo mbili na bado linacheua! sema walimpa jamaa mwingine akauze akatokomea kimoja.Nambembeleza twende huko chaka tena japo hana imani na walimwengu kwa kile walichomfanya. One day atanipeleka, naamini hivyo coz sample yake ni genuine green!
Mkuu mrangi kuna chodo la green tormaline pande hizo hizo mdau mmoja kanielekeza. Anadai mwaka juzi walienda na jamaa yake wakatoa kama kilo mbili na bado linacheua! sema walimpa jamaa mwingine akauze akatokomea kimoja.
Nambembeleza twende huko chaka tena japo hana imani na walimwengu kwa kile walichomfanya. One day atanipeleka, naamini hivyo coz sample yake ni genuine green!
usikimbilie kuchimba ruby na aina yoyote ya gemstones ushauri wangu kwako anzia kwenye cheap stones au semi precious stones mawe ukatayo uza kwa kg, angaliaa kwa undani zaidi ufanye