Ushauri kuhusu uchimbaji mdogomdogo wa Madini

cobe da pixel

Senior Member
Joined
Jul 12, 2014
Posts
101
Reaction score
61
Naombeni ushauri wenu wana JF
Mimi nataka nianze uchimbaji wa madini kama mchimbaji mdogo ila bado sijajua ni madini gani yanayolipa na kumtoa mtu, pia nisehemu gani yanapopatikana kwa wingi.

Naombeni mniongoze njia wana JF
 
naombeni ushauri wenu wana jf,mm nataka nianze uchimbaji wa madini kama mchimbaji mdogo ila bado sijajua nimadini gani yanayolipa na kumtoa mtu, pia nisehemu gani yanapopatikana kwa wingi.naomben mniongoze njia wana jf

unataka uchimbe au kununua?sbb kila idara inachangamoto zake.madini yakumtoa mtu pesa ndefu ni gemstone ila kupatikana ni bahati inataka uvumilivu,gold ni nzuri sbb inapatikana maeneo mengi haisumbui,ila kupata pesa ndefu ni bahati uzuri wake njaa hufi,,km unataka gold chimba ya mwamba japo inahitaji mtaji mkubwa
 
asante sana GEBA2013, mm nlikuwa nataka nchibe kwa mguvu zangu, sasa kama nataka kuchimba gemstone(haswa ruby) hii ina kuwaje? na inapatikana wapi kwa wing apa tz?, je! soko lake linapatikana kwa haraka?
 
usikimbilie kuchimba ruby na aina yoyote ya gemstones ushauri wangu kwako anzia kwenye cheap stones au semi precious stones mawe ukatayo uza kwa kg, angaliaa kwa undani zaidi ufanye
 
ndio mrangi nmekupata bt unge kuwa open katka swala zima la ugumu wake maana icho ndicho nachokitaka,kwa kuwa naona kabisa kwamba naipenda xana hii kaz, pls nfungue macho
 
naomba unipe ugumu wake ilinijue jinsi ya kujipanga, namaeneo yanapopatkana kwa wng pls
 
usikimbilie kuchimba ruby na aina yoyote ya gemstones ushauri wangu kwako anzia kwenye cheap stones au semi precious stones mawe ukatayo uza kwa kg, angaliaa kwa undani zaidi ufanye

hivi felispa mikanda ya uhakika ipo miji gani ukitoa kitange?
 
asante sana GEBA2013, mm nlikuwa nataka nchibe kwa mguvu zangu, sasa kama nataka kuchimba gemstone(haswa ruby) hii ina kuwaje? na inapatikana wapi kwa wing apa tz?, je! soko lake linapatikana kwa haraka?

hamna chimbo la ruby nzuri hapa tz ambalo halimilikiwi, labda ufanye utafiti wa eneo jipya, jaribu kufuatilia mpwapwa na karatu kulikuwa na milio mwanzo wa mwaka.
 
kuchimba sikushauri coz unaitaji mtaji mkubwa sana.labda kulangua kwa wachimbaji wadogo
 
hivi felispa mikanda ya uhakika ipo miji gani ukitoa kitange?

feluspa iko gairo, iko pia sehemu za kilosa....iko pia sehemu za berege kuna sehemu inaitwa idibo..inategemea sasa unataka felispa ya aina gani kna nyeupe, nyeusi na ile rangi ya karoti
 
ndio mrangi nmekupata bt unge kuwa open katka swala zima la ugumu wake maana icho ndicho nachokitaka,kwa kuwa naona kabisa kwamba naipenda xana hii kaz, pls nfungue macho

ngoja nikupe mbinu mimi nilikuwa na skilizia wapi kuna mlio ...mfano kuna wakati nlikuwa mpwapwa, winza unaweza ukawa na mln 3 tunachofanya tunawawezesha wachimbaji nguvu kidogo lkn kunakuwa na makubaliano...mzigo ukitoka tunagawana.msaada mkubwa labda ni kuwapa nguvu ya kutoa kifusi chenye vain kwenda kuchekecha mtoni ....na garama kdg ya chakula,lakini ukisema udhamini mgodi wote utakimbiaaa
 
hamna chimbo la ruby nzuri hapa tz ambalo halimilikiwi, labda ufanye utafiti wa eneo jipya, jaribu kufuatilia mpwapwa na karatu kulikuwa na milio mwanzo wa mwaka.

mpwapwa kote kumesimama mkuu....mlio uliyolia wa mwisho ni kule tanga....kilindi kwenye ruby
 
Mkuu mrangi kuna chodo la green tormaline pande hizo hizo mdau mmoja kanielekeza. Anadai mwaka juzi walienda na jamaa yake wakatoa kama kilo mbili na bado linacheua! sema walimpa jamaa mwingine akauze akatokomea kimoja.
Nambembeleza twende huko chaka tena japo hana imani na walimwengu kwa kile walichomfanya. One day atanipeleka, naamini hivyo coz sample yake ni genuine green!
 
Last edited by a moderator:
unataka uchimbe au kununua?sbb kila idara inachangamoto zake.madini yakumtoa mtu pesa ndefu ni gemstone ila kupatikana ni bahati inataka uvumilivu,gold ni nzuri sbb inapatikana maeneo mengi haisumbui,ila kupata pesa ndefu ni bahati uzuri wake njaa hufi,,km unataka gold chimba ya mwamba japo inahitaji mtaji mkubwa
mkuu vifaa vya kupimia dhahabu kama ni fake ama original vinauzwaje? ama upatikanaji wake ukoje?
 
Mkuu mrangi kuna chodo la green tormaline pande hizo hizo mdau mmoja kanielekeza. Anadai mwaka juzi walienda na jamaa yake wakatoa kama kilo mbili na bado linacheua! sema walimpa jamaa mwingine akauze akatokomea kimoja.Nambembeleza twende huko chaka tena japo hana imani na walimwengu kwa kile walichomfanya. One day atanipeleka, naamini hivyo coz sample yake ni genuine green!
embu endelea kumbembeleza mchizi basi maana asipo kuonesha sio ndiokwamba itampotezea uchungu bt atakuwa anapishana na hela kama una weza na pm namba yake mi nmpange may be ataelewa tu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mrangi kuna chodo la green tormaline pande hizo hizo mdau mmoja kanielekeza. Anadai mwaka juzi walienda na jamaa yake wakatoa kama kilo mbili na bado linacheua! sema walimpa jamaa mwingine akauze akatokomea kimoja.
Nambembeleza twende huko chaka tena japo hana imani na walimwengu kwa kile walichomfanya. One day atanipeleka, naamini hivyo coz sample yake ni genuine green!

kisima.....ni pm # yako, huyo jama mbana akuoneshe docho hilo
 
Last edited by a moderator:
Wakuu cobe da pixel na mrangi jamaa hana simu. Ila amedai akimaliza kutoa mazao yake shamba atanipeleka. Anadai kipindi wanachima waliona/walikutana na pipe ya aluminium kwenye shimo lao. So ameniomba nitafte protective gears kwajili ya kujikinga na hiyo aluminium coz ni hatari sana kucontact nayo.
Hebu nielekezeni vifaa halisi vya kujikinga na Aluminium.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu cobe da pixel na mrangi jamaa hana simu. Ila amedai akimaliza kutoa mazao yake shamba atanipeleka. Anadai kipindi wanachima waliona/walikutana na pipe ya aluminium kwenye shimo lao. So ameniomba nitafte protective gears kwajili ya kujikinga na hiyo aluminium coz ni hatari sana kucontact nayo.
Hebu nielekezeni vifaa halisi vya kujikinga na Aluminium na ikiwezekana tuichimbe kabisa! Soko lake si linapatikana au?
 
Last edited by a moderator:
usikimbilie kuchimba ruby na aina yoyote ya gemstones ushauri wangu kwako anzia kwenye cheap stones au semi precious stones mawe ukatayo uza kwa kg, angaliaa kwa undani zaidi ufanye

kama sunstone,felispa,moostone na mengine mengi, me nilikuwa mpwapwa napiga sunstone.
 
Back
Top Bottom