Kama ni yako mwenyewe basi itoe Raum kwenye orodha ikibidi hata na IST. Kama kipato chako kiko vyema angalia hizo aina nyingine zilizobaki.Mimi peke yangu Mkuu.
Gari ambayo haijakimbia husoma 0000 km ila ukiona inasoma Km 4009000 ujue umetembea kilomita hizo.Ahsante mkuu.
Kwa pesa hiyo mimi binafsi nakushauri nunua gari ya juu yaan SUV ambapo unaweza kupata toyota Rav4 kili time, toyota RUSH, subaru forester 2008 model, toyota kluger, au kama ni premio au allion nunua toleo la 3 kwa premio na la pili kwa alion wenyewe wanaita new model
.mkuu agiza toyota CROWN matoleo ya kuanzia 2005 - 2008. kwa bajeti yako chenji itabaki na hii gari itakupatia heshima.
Subaru zenye matatizo ya headgasket ni zenye engine ya EJ25 pekee. Ulaji wa mafuta ni wa kawaida kwa ambazo hazina turbo.Subaru zina historia ya gasket ku leak kwa engine adi mafuta kuchanganyika na maji kwa baathi ya matoleo lakin...apo uki base kwa mafuta mana siki zote ndo mchawi chukua allion au premio maana ni sawa from 2010 allion na premio 2007 kuendelea mana kwa sura ni nzuri na comfortable pia,hazinywi wese na ni very practical ku handle,zina nafasi kubwa pia.
Crown yupo vizur kuliko kina allion in all cases ila kwa mafuta tu mana ana adi cc 3500..sio user friendly kwa bajeti zetu hizi
Premio na allion izo apo View attachment 1337040View attachment 1337043
Sent using Jamii Forums mobile app