joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
Habari zenu wanabodi? Ni matumaini yangu kwamba kila mmoja humu ndani yuko salama kabisa.
Lengo kubwa la hili bandiko ni kwamba mwezi huu natarajia kununua gari kwa kuagiza gari toka nje ya nchi (Japan). Bajeti yangu ni Tshs 18,000,000/= hivyo nahitaji nijue uzuri wa haya magari katika vipengele vifuatavyo:-
A. AINA YA MAGARI
i) ALLION
ii) Raum
iii) Crown
iv) Subaru IMPREZA
v) IST
B. VIPENGELE
(a) Utumiaji wa mafuta
(b) Upatikanaji wa vifaa vyake.
(c) Wanapoandika kwamba gari lina 111,900 Km huwa wanamaanisha nini?
NB: Kama mnaweza kunishauri kununua aina nyingine ya magari/gari kulingana na bajeti yangu niliyoitaja hapo juu.