Ushauri kuhusu ununuzi wa magari

Ushauri kuhusu ununuzi wa magari

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,623
Reaction score
5,039
Habari zenu wanabodi? Ni matumaini yangu kwamba kila mmoja humu ndani yuko salama kabisa.

Lengo kubwa la hili bandiko ni kwamba mwezi huu natarajia kununua gari kwa kuagiza gari toka nje ya nchi (Japan). Bajeti yangu ni Tshs 18,000,000/= hivyo nahitaji nijue uzuri wa haya magari katika vipengele vifuatavyo:-

A. AINA YA MAGARI
i) ALLION
ii) Raum
iii) Crown
iv) Subaru IMPREZA
v) IST

B. VIPENGELE
(a) Utumiaji wa mafuta
(b) Upatikanaji wa vifaa vyake.
(c) Wanapoandika kwamba gari lina 111,900 Km huwa wanamaanisha nini?

NB: Kama mnaweza kunishauri kununua aina nyingine ya magari/gari kulingana na bajeti yangu niliyoitaja hapo juu.
 
Ahsante mkuu.
Gari ambayo haijakimbia husoma 0000 km ila ukiona inasoma Km 4009000 ujue umetembea kilomita hizo.

Pili,tafuta mtaalamu wa magari ambaye atakusaidia na mwaminifu ambaye atakupa mwongozo na ushauri mzuri kuhusu magari.

Vyema ukapata mtu ambaye unajuana naye.
 
joshydama,
Kwa pesa hiyo mimi binafsi nakushauri nunua gari ya juu yaan SUV ambapo unaweza kupata toyota Rav4 kili time, toyota RUSH, subaru forester 2008 model, toyota kluger, au kama ni premio au allion nunua toleo la 3 kwa premio na la pili kwa alion wenyewe wanaita new model
 
Naomba unipatie hizo hela nikakuletee gari kwa maana ya gari
 
Sawa kabisa ni kama ulikuwa mawazoni kwangu.

119,000km maana yake hiyo gari imeshatembea kilometer hizo hadi unaiweka mkononi. Kwa magari used hiyo ni kawaida kama zinakiwa genuine maana wengine wanachezea odometer
Kwa pesa hiyo mimi binafsi nakushauri nunua gari ya juu yaan SUV ambapo unaweza kupata toyota Rav4 kili time, toyota RUSH, subaru forester 2008 model, toyota kluger, au kama ni premio au allion nunua toleo la 3 kwa premio na la pili kwa alion wenyewe wanaita new model

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaponunua gari kuna vitu vinne kama sio vitano
1.Comfortability
2.Style
3.Performance
4.Fuel economy
Huwezi kuvipata vyote hivyo kwenye gari moja i.e Crown ni comfortable, lina style nzuri lina performance - ukikanyaga mafuta rev ikifika kwenye 3 ni mbio kwenda mbele ila kwenye fuel economy unaumia tukija kwenye allion sio comfortable, halina style nzuri, na halikimbii ila mafuta linatumia kidogo i.e ya 1780CC au 2000CC naskia zipo za 1490CC
 
Kuna IST new model...

Kuitoa japan mpka dsm ni 7-9M.
Ushuru 7M. Mengine madogo madogo 1M. Kwa iyo ni 15 hadi 17 tu... Taaamu saaana aisee shape, body n.k

Beforwad reference BG714043

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subaru zina historia ya gasket ku leak kwa engine adi mafuta kuchanganyika na maji kwa baathi ya matoleo lakin...apo uki base kwa mafuta mana siki zote ndo mchawi chukua allion au premio maana ni sawa from 2010 allion na premio 2007 kuendelea mana kwa sura ni nzuri na comfortable pia,hazinywi wese na ni very practical ku handle,zina nafasi kubwa pia.

Crown yupo vizur kuliko kina allion in all cases ila kwa mafuta tu mana ana adi cc 3500..sio user friendly kwa bajeti zetu hizi

Premio na allion izo apo
download.jpeg
download-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subaru zina historia ya gasket ku leak kwa engine adi mafuta kuchanganyika na maji kwa baathi ya matoleo lakin...apo uki base kwa mafuta mana siki zote ndo mchawi chukua allion au premio maana ni sawa from 2010 allion na premio 2007 kuendelea mana kwa sura ni nzuri na comfortable pia,hazinywi wese na ni very practical ku handle,zina nafasi kubwa pia.

Crown yupo vizur kuliko kina allion in all cases ila kwa mafuta tu mana ana adi cc 3500..sio user friendly kwa bajeti zetu hizi

Premio na allion izo apo View attachment 1337040View attachment 1337043

Sent using Jamii Forums mobile app
Subaru zenye matatizo ya headgasket ni zenye engine ya EJ25 pekee. Ulaji wa mafuta ni wa kawaida kwa ambazo hazina turbo.
 
Yaani unatumia million 18 kununua uchafu?!Kweli duniani vituko haviishi!🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom