David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Yanahitaji heshima sana kukupeleka ahera ni kugusa tu,KTM SUPER ADVENTURE 1290R ilikuwa bado kidogo linitoe rohoKwema mkuu?mimi bhana maisha yangu yalianzia kwenye bike nilikuwa bikeboy
Huwa natamani sana hizi bike kubwa niwe nalo hata limoja mara moja weekend napasha nalo msuli na mimi nilikuwa najiuliza nitaliweza maana watu wanatutisha mara power kubwa sana oooh daah… share experience yako kwenye hizi machine nami nikajiokotee.