feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Kaka nakuomba Inbox nina swaliZanzibar kuna cheap bike. Ila kuna issue nikuambie, ebu fikiria kati ya Sport na Naked. Nachopenda Naked bike ukiangusha haivunjiki fenders.
Sports bike ukiangusha Fenders ni plastic zikipasuka challenge. Unakuta haiuzwi moja inabidi ununue full. Gharama kiasi.