David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
Yanahitaji heshima sana kukupeleka ahera ni kugusa tu,KTM SUPER ADVENTURE 1290R ilikuwa bado kidogo linitoe rohoKwema mkuu?mimi bhana maisha yangu yalianzia kwenye bike nilikuwa bikeboy
Huwa natamani sana hizi bike kubwa niwe nalo hata limoja mara moja weekend napasha nalo msuli na mimi nilikuwa najiuliza nitaliweza maana watu wanatutisha mara power kubwa sana oooh daah… share experience yako kwenye hizi machine nami nikajiokotee.
Yanahitaji heshima sana kukupeleka ahera ni kugusa tu,KTM SUPER ADVENTURE 1290R ilikuwa bado kidogo linitoe roho
Chukua Honda CB400 Super Four kwa unguja itakuwa kwenye 8million. Hii itakufaa sana haina plastic fender na ni rahisi kuimudu tofauti na hizo CBR ambazo ni Sport Bike.Honda click 150cc m5.9 mpya kwa safari za 30km kwa wiki mara 4-5 naambia itachoka mapema pia unguja click ni kila kona naifikilia cbr 600 ila hofu mkuu kwa maneno ya wadau
Japan bike kwenye hizo site hawaweki sana, Dubai kuna site za pikipiki au South Africa Zimejaa bike aina tofauti.Wakuu kupitia huu uzi naomba kuuliza hivi hizi pikipiki used kuna soko gani la nje kama vile be forward na SBT unaweza ukaagiza mwenyewe
Tupia link za izo site mkuu kama hutojaliJapan bike kwenye hizo site hawaweki sana, Dubai kuna site za pikipiki au South Africa Zimejaa bike aina tofauti.
Ukihitaji za South Africa nicheki.
Kwenye kuchoka mapema hapo nakataa Kila kitu ni jinsi takavyo kitunza... Kama pesa zako ni za mawazo Honda click ni best haswa unywaji wake wa mafuta ni mdogo sana.Honda click 150cc m5.9 mpya kwa safari za 30km kwa wiki mara 4-5 naambia itachoka mapema pia unguja click ni kila kona naifikilia cbr 600 ila hofu mkuu kwa maneno ya wadau
Fenders ndio nini...?Chukua Honda CB400 Super Four kwa unguja itakuwa kwenye 8million. Hii itakufaa sana haina plastic fender na ni rahisi kuimudu tofauti na hizo CBR ambazo ni Sport Bike.
Plastic za urembo zinakuwa pembeni ya Tank, engine kwenye sport bike.Fenders ndio nini...?
Chuma nayoitakagaView attachment 2780483
Zenji huko inaweza patikana kwa bei gani? Ni Honda CB 125rSport imekaa unyama mkuu
Triumph?Chuma nayoitakagaView attachment 2780483
Nisaidie kuulizia hiyo Honda mkuu kama inapatikanaHii ni suzuki 125cc m4View attachment 2781314