Unahitaji kununua hisa ngapi za TBL? Kama uko serious tuwasiliane kwa PM.Hilo linawezekana kabisa ila kuna gharama kidogo.
Embu mkuu yalimo ingia kwenye website ya broker yoyote halafu upige namba zao. Au pia unaweza kwenda banki ya CRDB maana wameingia ubia na moja ya brokers ila tatizo hapo ni umpate mfanyakazi anayeelewa hayo mambo. Nadhani ukishafika pale wao watadownload na kukupa buying order form ambayo nadhani watapewa bei ya soko na huyo broker then utadeposit kiasi chako cha fedha kwenye account ya broker na hiyo form utawakabidhi watu wa banki ambao nadhani wata scan kwenda kwa broker, kisha brokers wakishapokea watakufungulia CDS account ya DSE ambayo ndiyo itayorecord hizo hisa ulizonunua. Ila embu wapigie simu upate maelezo mazuri. Kila la heri mkuu ila pia kuna hizi bond za EXIM bank pia unaweza ukazipa jicho maana sio vizuri kuweka mayai yote kwenye kapu moja.
Kukitokea mtikisiko tu wa kiuchumi au kifedha hisa zinaporomoka thamani. Kama unahisa za mil 4 unaweza kujikuta una hisa za laki 2. Jielimishe kwanza uijue biashara yenyewe
Embu mkuu yalimo ingia kwenye website ya broker yoyote halafu upige namba zao. Au pia unaweza kwenda banki ya CRDB maana wameingia ubia na moja ya brokers ila tatizo hapo ni umpate mfanyakazi anayeelewa hayo mambo. Nadhani ukishafika pale wao watadownload na kukupa buying order form ambayo nadhani watapewa bei ya soko na huyo broker then utadeposit kiasi chako cha fedha kwenye account ya broker na hiyo form utawakabidhi watu wa banki ambao nadhani wata scan kwenda kwa broker, kisha brokers wakishapokea watakufungulia CDS account ya DSE ambayo ndiyo itayorecord hizo hisa ulizonunua. Ila embu wapigie simu upate maelezo mazuri. Kila la heri mkuu ila pia kuna hizi bond za EXIM bank pia unaweza ukazipa jicho maana sio vizuri kuweka mayai yote kwenye kapu moja.
fafanua kwa undani nisije kujikuta nimepata mda wa maongezi wa tigo niwezeshe. iam serious!
Duh!! hao brockers ndo wanahusika...unataka za TBL au zozote utaweza kujuanimesema TBL sijui tumeelewana?