Ushauri kuhusu uwekaji wa HISA

Ushauri kuhusu uwekaji wa HISA

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
Nipo Kigoma nahitaji kununua HISA kampuni ya TBL je nianzie wapi? Kiufupi nataka nimalize mchakato bila kusafiri mpaka dar es salaam maana gharama ni kubwa mno.
kwa wazoefu ambao wanamiliki hisa zao, tupatieni uzoefu ambao ni pamoja na faida mnazopata baada ya kupata gawio. pia hasara ni mhimu tuzijue.
Tafadhari naomba ushauri wenu.
 
wapigie solomon stockbrockers ltd, waeleze shida yako. namba yao ni +255785482276
 
Kukitokea mtikisiko tu wa kiuchumi au kifedha hisa zinaporomoka thamani. Kama unahisa za mil 4 unaweza kujikuta una hisa za laki 2. Jielimishe kwanza uijue biashara yenyewe
 
Unahitaji kununua hisa ngapi za TBL? Kama uko serious tuwasiliane kwa PM.Hilo linawezekana kabisa ila kuna gharama kidogo.
 
Embu mkuu yalimo ingia kwenye website ya broker yoyote halafu upige namba zao. Au pia unaweza kwenda banki ya CRDB maana wameingia ubia na moja ya brokers ila tatizo hapo ni umpate mfanyakazi anayeelewa hayo mambo. Nadhani ukishafika pale wao watadownload na kukupa buying order form ambayo nadhani watapewa bei ya soko na huyo broker then utadeposit kiasi chako cha fedha kwenye account ya broker na hiyo form utawakabidhi watu wa banki ambao nadhani wata scan kwenda kwa broker, kisha brokers wakishapokea watakufungulia CDS account ya DSE ambayo ndiyo itayorecord hizo hisa ulizonunua. Ila embu wapigie simu upate maelezo mazuri. Kila la heri mkuu ila pia kuna hizi bond za EXIM bank pia unaweza ukazipa jicho maana sio vizuri kuweka mayai yote kwenye kapu moja.
 
Last edited by a moderator:

asante sana mkuu kwa ushauri wako maana duuu maana wengine wana roho mbaya! ati wananidai kitu kidogo ndo wanipe ushauri loh!
 
Last edited by a moderator:
Kukitokea mtikisiko tu wa kiuchumi au kifedha hisa zinaporomoka thamani. Kama unahisa za mil 4 unaweza kujikuta una hisa za laki 2. Jielimishe kwanza uijue biashara yenyewe

mmh are you serious? if your serious what do you suggest? uoga ni umasikini. nataka kujikomboa!
 
Embu mkuu yalimo ingia kwenye website ya broker yoyote halafu upige namba zao. Au pia unaweza kwenda banki ya CRDB maana wameingia ubia na moja ya brokers ila tatizo hapo ni umpate mfanyakazi anayeelewa hayo mambo. Nadhani ukishafika pale wao watadownload na kukupa buying order form ambayo nadhani watapewa bei ya soko na huyo broker then utadeposit kiasi chako cha fedha kwenye account ya broker na hiyo form utawakabidhi watu wa banki ambao nadhani wata scan kwenda kwa broker, kisha brokers wakishapokea watakufungulia CDS account ya DSE ambayo ndiyo itayorecord hizo hisa ulizonunua. Ila embu wapigie simu upate maelezo mazuri. Kila la heri mkuu ila pia kuna hizi bond za EXIM bank pia unaweza ukazipa jicho maana sio vizuri kuweka mayai yote kwenye kapu moja.

asante mkuu, vipi hizo bondi za exim zinalipa? tupe maelezo yake utufungue macho maana uoga ni umasikini. pia tupe na hasara zake kama zipo. maana tunajua hasara katika biashara ni kawaida!
 
Last edited by a moderator:
fafanua kwa undani nisije kujikuta nimepata mda wa maongezi wa tigo niwezeshe. iam serious!

Ukipiga namba hiyo tunaingia solo la hisa la Dar es salaam hapo unaweza kununua na kuuza hisa kwa kupitia simu yako.

Pitia hapa kwa Maelezo zaidi

www.dse.co.tz/content/dar-es-salaam-stock-exchange-?-launch-mobile-trading
 
Back
Top Bottom