rusesa
JF-Expert Member
- Jun 1, 2013
- 538
- 234
Nipo Kigoma nahitaji kununua HISA kampuni ya TBL je nianzie wapi? Kiufupi nataka nimalize mchakato bila kusafiri mpaka dar es salaam maana gharama ni kubwa mno.
kwa wazoefu ambao wanamiliki hisa zao, tupatieni uzoefu ambao ni pamoja na faida mnazopata baada ya kupata gawio. pia hasara ni mhimu tuzijue.
Tafadhari naomba ushauri wenu.
kwa wazoefu ambao wanamiliki hisa zao, tupatieni uzoefu ambao ni pamoja na faida mnazopata baada ya kupata gawio. pia hasara ni mhimu tuzijue.
Tafadhari naomba ushauri wenu.