Ushauri kuhusu wazo la huu mfumo

Ushauri kuhusu wazo la huu mfumo

Habari wanabodi,

Shida ya hii forum unaweza kuomba ushauti mijitu inakutazama tu[emoji706]

Twende kwenye Mada
TZ na dunia nzima wafanyabiashara na wanunuzi wanakutana na barrier ya uaminifu.Hasa wanunuzi waliombali na muuzaji lets say mikoa tofauti.

Kwa kuona hiyo.Ndipo zinakuta technology ya Ecommerce.Zipo site nyingi za Ecommerce kama ebay,Amazom,Alibaba,kikuu, na nyingine nyingi.

Kupitia hizi ecommerce maarufu mnunuzi anaweza kununua kitu chochote akiwa sehemu yoyote ile duniani.

TOFAUTI na hizo ecommerce kubwa yani International kuna hizi za local kama Jiji, jumia, Kupatana.com hizi site na App zinatofauti kidogo kwani hutaweza kufanya malipo ya bidhaa moja kwa moja badala yake utawekewa namba ya muuzaji.

SASA WAZO NDIO LINAKUJA HAPO
Nini kinakwamisha ecommerce za bongo kutokuwa na payment gateway?

Hapana payment method sio kigezo, kuna altenative nyingi sana na pia mitandao ya sim inatoa API
Na uzuri wake ni kwamba kwa kila bidhaa itayouzwa unakata % kadhaa.Mfano bidhaa inauzwa 10,000 tsh/ wewe unakata 500/ na mteja atakapo fanya malipo unaweka malipo PENDING..mteja atakapothibitisha kapokea malipo ndio nawewe unaruhusu malipo kwa muuzaji ndivyo wengine kina Amazon hufanya hivyo kuepusha wizi!!?
Sio kukata tuu, kua baadhi ya vitu ikiwemo sales tax, collection fee etc.
Sasa kwa uelewa wako hapa bongo ugumu utakuja wapi kwenye kutengeneza mfumo kama huu wa kuuza na kununua.Wewe unakuwa kama mtu wa kati tu unaemuunganisha mnunuzi na muuzaji
Mifumo ipo sema tatizo ni skills, kila mtu anaweza ku code, ku develop systems icho ni kipoengele kizito (mfano ecommerce ipo ivi, ina panel ya seller, logistic, pickup and delivery agents, systems administrator, marketplace, warehouse alafu pia ina required advanced programming knowledge) kiufupi ni complex orders management, payments etc kwa mtu mmoja labda itachukua 4 to 5 yrs (kama part time)
Sidhani kama nimeeleweka kwakua nimeandika kwa spidi ya jet bila kufanya marejeo ya bandiko ila kama umepata concept karibu tujadili.
 
Wewe hujui hio ipo kwenye betting companies, ukiingiza Pesa inaingia papo hapo uki-win unalipwa papo hapo na unaweza kutoa papo hapo, unanielewa lakini au umesomea kupinga kila unachokiona bila kufanya utafiti?

Yaan kuna watu watatu wewe, Serekali na betting company, wewe ukiingia ukabet ukashinda utapewa Pesa yako na kuna 10% inatumwa kwa Serekali km kodi papo hapo inaingia kwenye wallet ya Serekali, ushanielewa sijui? Ukishashinda unachukua Pesa yako km ilivyo yaan zile Pesa zimewekwa kwenye kitu kinaitwa E-Wallet yaan Electronic-Wallet, unanielewa sijui? Au nakuvuruga zaidi?
Sasa mbona unakua mvivu wa kufikiri mzee kweli unafananisha Ecommerce na Esport? Ni mbingu na ardhi kabisaaa...spesa wao unaweka pesa inaenda kwenye kampuni na Ukiwin inakuja kwenye account yako ILA ni mpaka uitoe kwenye acc ya Spesa uwithdraw kwenye account ya bank!!!

Tofauti na ecommerce kama ebay ambapo pesa inaenda direct kwa muuzaji kutoka kwa mnunuzi isipokuwa malipo yanawekwa pending kwa muda.Mbona ni simpo logic tu

Ficha ujinga sawa?
 
Free advice, kama umeona gap kwenye market taratibu tu build your digital product weka features unazoona ni suluhisho la tatizo lilikopo, ingiza bidhaa sokoni subiri matokeo, improve taratibu. Punguza focus na watangulizi wako bali jifunze kwa watangulizi wako uone nini wanafanya nawewe utafanya nini cha ziada kwa wanachofanya ili ufanye bora zaidi upate wateja.
Shukran Mkuu
 
Hapana payment method sio kigezo, kuna altenative nyingi sana na pia mitandao ya sim inatoa API

Sio kukata tuu, kua baadhi ya vitu ikiwemo sales tax, collection fee etc.

Mifumo ipo sema tatizo ni skills, kila mtu anaweza ku code, ku develop systems icho ni kipoengele kizito (mfano ecommerce ipo ivi, ina panel ya seller, logistic, pickup and delivery agents, systems administrator, marketplace, warehouse alafu pia ina required advanced programming knowledge) kiufupi ni complex orders management, payments etc kwa mtu mmoja labda itachukua 4 to 5 yrs (kama part time)
Miaka mitano aisee...
Ndio tabu ya izi Api za mitandao lazima wakate mpaka kichwa kiume
 
Umeweka payment gateway yoyote? Ni user B2B au ni yako binafsi?
B2B, B2C na classifieds
Miaka mitano aisee...
Ndio tabu ya izi Api za mitandao lazima wakate mpaka kichwa kiume
Nacho maanisha ni kwamba kama una develop huku unafanya mambo mengine leo una code kesho na kesho kutwa hau fanyi, experience yangu changamoto ipo kwenye database table relationship na ku update status na timestamp pia ku very kila inputs ku compress image na kubadili format .webp ku record user action na users permission. Looooot of code nimetumi kama 2y5m ipo powerd na DJANGO
 
Sasa mbona unakua mvivu wa kufikiri mzee kweli unafananisha Ecommerce na Esport? Ni mbingu na ardhi kabisaaa...spesa wao unaweka pesa inaenda kwenye kampuni na Ukiwin inakuja kwenye account yako ILA ni mpaka uitoe kwenye acc ya Spesa uwithdraw kwenye account ya bank!!!

Tofauti na ecommerce kama ebay ambapo pesa inaenda direct kwa muuzaji kutoka kwa mnunuzi isipokuwa malipo yanawekwa pending kwa muda.Mbona ni simpo logic tu

Ficha ujinga sawa?
Una Safari ndefu ya kujifunza,
 
Betting sites, BetPawa, sportpesa, kazijaribu

Mkuu betting company na kinachozungumziwa hapa ni vitu tofauti

Kwenye e-commerce mfumo ni
Mzigo anao Ali Kigoma
Mnunuzi Paul Mwanza
Msimamizi Jumia online
Msafirishaji Basi la Abood
Changamoto ni Paul kumlipa Ali kupitia Jumia na Mzigo umfikie Juma kupitia Abood bus.... UAMINIFU

Betting company ni between you and company.... ndio maana unalipa direct kupitia mobile payment

Kwenye Betting wewe na Betpawa mnatumiana miamala ya pesa tu
Kwenye Jumia Paul anafanya malipo, Ali anatuma mzigo jumia anasimamia na Abood anasafirisha Paul anapokea

Labda sijakuelewa ulikua unamaanisha nini mkuu
 
Umemuelewesha vizuri sanaa
Turudi kwenye Mada sasa.
Nini kimakwamisha mtu kuwa na Ecommerce yenye malipo hapa bongo
 
Umemuelewesha vizuri sanaa
Turudi kwenye Mada sasa.
Nini kimakwamisha mtu kuwa na Ecommerce yenye malipo hapa bongo

Nadhani wanaoendesha hizo e-commerce ama wanakosa ubunifu au sheria na taratibu haziruhusu/hazipo au zina complication sana au changamoto ya kimfumo

Kuna vitu vitatu muhimu ili kukamilisha biashara hii

1. Online platform
2. Malipo
3. Usafiri

Online platform; MayuBey
Malipo; Azam Pesa
Usafiri; Posta/mabasi

Sasa hapa itategemea biashara yako unauza vitu vyako tu au watu mbalimbali watakua wanatumia platform yako kuuza vitu vyao pia

Juma Mtwara akinunua Asali kutoka kwa Lisu Singida kupitia Mayubey atafanya malipo Azam Pesa baada ya kupata reference no kutoka Mayubey

Malipo ataya hold Azam Pesa hadi mzigo umfikie Juma Mtwara ndio Lisu Singida atalipwa

Itategemea usafiri utakua umepangwa vipi
Ama Lisu Singida atalipia na atarudishiwa hela yake ya usafiri atakapolipwa au kutakuwa na mkataba maalum na makampuni, Lisu atapewa ref No atapeleka post na posta watapokea mzigo na kuusafirisha na watalipwa na Mayubey(changamoto ni miundombinu ya namna ya usafiri labda yupo kijijini nk)

Azam Pesa atafanya malipo kwa Lisu Singida baada ya mzigo kufika kwa Juma Mtwara na akaridhika na Mayubey kutoa go ahead alipwe

Then Azam Pesa atakata asilimia yake labda na kodi kisha iliobaki ataingiza Mayubey

Changamoto hapo ni namna ya ku sync kati ya Mayubet app/seller/buyer, Azam Pesa na msafirishaji(hapo vitu vinafanyika online)
Mchakato wote huu anayetakiwa ku initiate ni Mayubey

Halafu sasa baada ya hayo kukamilika inakuja issue ya UAMINIFU
Je Lisu atatuma asali aliyoiyaka Juma?
Je juma atakua mkweli bidhaa aliyopata ipo ok au ataleta usumbufu tu?

Kwa mfano Ebay na Amazon seller wengi huwa hawataki ku ship nchi za dunia ya tatu kama Tz kwasababu ya usumbufu wa buyers wa huku
Mtu hasomi vizuri descriptions za bidhaa anaagiza tu halafu ukifika ana complain

Naamini hawa Jiji wangekuwa serious wakawafuata Azam au mpesa wakayajenga naamini inawezekana kabisa
Kisha wakayajenga na mabasi au posta.... mambo yangekuwa si haba
 
Kwa jinsi ambavyo watanzania uaminifu wetu unatiliwa mashaka, ni heri kwenda na Escrow, kuwe na "mtu kati", it being airtel, voda or tigopesa au hata mifumo ya benki. Then mnunuzi akihitaji service anaweka kiasi kama ni 10,000 then mtu kati anazuia muamala hadi muuzaji atume mzigo, mnunuzi akishafanya confirmation ya kupata bidhaa hapo muuzaji anapewa pesa yake.
 
Zipo site unalipia moja kwa moja kabisa jaribu kudadisi vizuri utaziona, Ila sababu kuu ni kutokua na uaminifu wa bidhaa yaan unaweza ukaona bidhaa kwa picha ukaletewa bidhaa kwenye picha na uhalisia ni tofauti kwa hio anaedeliver ndio ataambiwa km mteja atalipia karidhia au halipii hajaridhia
Pitia hii ya kwangu
Bongo hii nitajie ecommerce ya hapahapa TZ unayoweza kulipa mzigo direct moja kwa moja
Hapo sijaelewa unamaanisha nini, Ila kuna Kikuu, Tunzaa, easy buy etc.
Add na voxmart kwenye hii list
Free advice, kama umeona gap kwenye market taratibu tu build your digital product weka features unazoona ni suluhisho la tatizo lilikopo, ingiza bidhaa sokoni subiri matokeo, improve taratibu. Punguza focus na watangulizi wako bali jifunze kwa watangulizi wako uone nini wanafanya nawewe utafanya nini cha ziada kwa wanachofanya ili ufanye bora zaidi upate wateja.
Research ni muhimu kabda ya development ili kujua ni features gani zutakua kwenye website yako
Umeweka payment gateway yoyote? Ni user B2B au ni yako binafsi?
Payment nilitegeneza Web-wallet
Tunzaa pamoja na voxmart
Mkuu betting company na kinachozungumziwa hapa ni vitu tofauti

Kwenye e-commerce mfumo ni
Mzigo anao Ali Kigoma
Mnunuzi Paul Mwanza
Msimamizi Jumia online
Msafirishaji Basi la Abood
Changamoto ni Paul kumlipa Ali kupitia Jumia na Mzigo umfikie Juma kupitia Abood bus.... UAMINIFU

Betting company ni between you and company.... ndio maana unalipa direct kupitia mobile payment

Kwenye Betting wewe na Betpawa mnatumiana miamala ya pesa tu
Kwenye Jumia Paul anafanya malipo, Ali anatuma mzigo jumia anasimamia na Abood anasafirisha Paul anapokea

Labda sijakuelewa ulikua unamaanisha nini mkuu
Hiyo ndo changamoto nilivyk solve ecommerce yangu, kila kitu kipo standards za amazon
====
Masokotz
Link hii hapa: Voxmart Tanzania | Buy & Sell Goods, mobiles, laptops, cameras, books & More!

Jamani mkipata mda mpitie hapo juu maoni yenu ji muhimu
 
Back
Top Bottom