MrProsecutor
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 280
- 275
Ulichoandika binafsi sijaelewa.Aise, nemetengeneza ya kwangu bado siya ifanya kwenye production
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichoandika binafsi sijaelewa.Aise, nemetengeneza ya kwangu bado siya ifanya kwenye production
Habari wanabodi,
Shida ya hii forum unaweza kuomba ushauti mijitu inakutazama tu[emoji706]
Twende kwenye Mada
TZ na dunia nzima wafanyabiashara na wanunuzi wanakutana na barrier ya uaminifu.Hasa wanunuzi waliombali na muuzaji lets say mikoa tofauti.
Kwa kuona hiyo.Ndipo zinakuta technology ya Ecommerce.Zipo site nyingi za Ecommerce kama ebay,Amazom,Alibaba,kikuu, na nyingine nyingi.
Kupitia hizi ecommerce maarufu mnunuzi anaweza kununua kitu chochote akiwa sehemu yoyote ile duniani.
TOFAUTI na hizo ecommerce kubwa yani International kuna hizi za local kama Jiji, jumia, Kupatana.com hizi site na App zinatofauti kidogo kwani hutaweza kufanya malipo ya bidhaa moja kwa moja badala yake utawekewa namba ya muuzaji.
SASA WAZO NDIO LINAKUJA HAPO
Nini kinakwamisha ecommerce za bongo kutokuwa na payment gateway?
Sio kukata tuu, kua baadhi ya vitu ikiwemo sales tax, collection fee etc.Na uzuri wake ni kwamba kwa kila bidhaa itayouzwa unakata % kadhaa.Mfano bidhaa inauzwa 10,000 tsh/ wewe unakata 500/ na mteja atakapo fanya malipo unaweka malipo PENDING..mteja atakapothibitisha kapokea malipo ndio nawewe unaruhusu malipo kwa muuzaji ndivyo wengine kina Amazon hufanya hivyo kuepusha wizi!!?
Mifumo ipo sema tatizo ni skills, kila mtu anaweza ku code, ku develop systems icho ni kipoengele kizito (mfano ecommerce ipo ivi, ina panel ya seller, logistic, pickup and delivery agents, systems administrator, marketplace, warehouse alafu pia ina required advanced programming knowledge) kiufupi ni complex orders management, payments etc kwa mtu mmoja labda itachukua 4 to 5 yrs (kama part time)Sasa kwa uelewa wako hapa bongo ugumu utakuja wapi kwenye kutengeneza mfumo kama huu wa kuuza na kununua.Wewe unakuwa kama mtu wa kati tu unaemuunganisha mnunuzi na muuzaji
Sidhani kama nimeeleweka kwakua nimeandika kwa spidi ya jet bila kufanya marejeo ya bandiko ila kama umepata concept karibu tujadili.
Nime development website ya ecommerce ipo kwenye testing bado sijaipandisha kwenye productionUlichoandika binafsi sijaelewa.
Sasa mbona unakua mvivu wa kufikiri mzee kweli unafananisha Ecommerce na Esport? Ni mbingu na ardhi kabisaaa...spesa wao unaweka pesa inaenda kwenye kampuni na Ukiwin inakuja kwenye account yako ILA ni mpaka uitoe kwenye acc ya Spesa uwithdraw kwenye account ya bank!!!Wewe hujui hio ipo kwenye betting companies, ukiingiza Pesa inaingia papo hapo uki-win unalipwa papo hapo na unaweza kutoa papo hapo, unanielewa lakini au umesomea kupinga kila unachokiona bila kufanya utafiti?
Yaan kuna watu watatu wewe, Serekali na betting company, wewe ukiingia ukabet ukashinda utapewa Pesa yako na kuna 10% inatumwa kwa Serekali km kodi papo hapo inaingia kwenye wallet ya Serekali, ushanielewa sijui? Ukishashinda unachukua Pesa yako km ilivyo yaan zile Pesa zimewekwa kwenye kitu kinaitwa E-Wallet yaan Electronic-Wallet, unanielewa sijui? Au nakuvuruga zaidi?
Umeweka payment gateway yoyote? Ni user B2B au ni yako binafsi?Aise, nimetengeneza ecommerce yangu bado tu haijawa live kwenye production env
Shukran MkuuFree advice, kama umeona gap kwenye market taratibu tu build your digital product weka features unazoona ni suluhisho la tatizo lilikopo, ingiza bidhaa sokoni subiri matokeo, improve taratibu. Punguza focus na watangulizi wako bali jifunze kwa watangulizi wako uone nini wanafanya nawewe utafanya nini cha ziada kwa wanachofanya ili ufanye bora zaidi upate wateja.
Miaka mitano aisee...Hapana payment method sio kigezo, kuna altenative nyingi sana na pia mitandao ya sim inatoa API
Sio kukata tuu, kua baadhi ya vitu ikiwemo sales tax, collection fee etc.
Mifumo ipo sema tatizo ni skills, kila mtu anaweza ku code, ku develop systems icho ni kipoengele kizito (mfano ecommerce ipo ivi, ina panel ya seller, logistic, pickup and delivery agents, systems administrator, marketplace, warehouse alafu pia ina required advanced programming knowledge) kiufupi ni complex orders management, payments etc kwa mtu mmoja labda itachukua 4 to 5 yrs (kama part time)
B2B, B2C na classifiedsUmeweka payment gateway yoyote? Ni user B2B au ni yako binafsi?
Nacho maanisha ni kwamba kama una develop huku unafanya mambo mengine leo una code kesho na kesho kutwa hau fanyi, experience yangu changamoto ipo kwenye database table relationship na ku update status na timestamp pia ku very kila inputs ku compress image na kubadili format .webp ku record user action na users permission. Looooot of code nimetumi kama 2y5m ipo powerd na DJANGOMiaka mitano aisee...
Ndio tabu ya izi Api za mitandao lazima wakate mpaka kichwa kiume
Bongo hii nitajie ecommerce ya hapahapa TZ unayoweza kulipa mzigo direct moja kwa moja
Hii user hawezi post chochote asee sawa?
Una Safari ndefu ya kujifunza,Sasa mbona unakua mvivu wa kufikiri mzee kweli unafananisha Ecommerce na Esport? Ni mbingu na ardhi kabisaaa...spesa wao unaweka pesa inaenda kwenye kampuni na Ukiwin inakuja kwenye account yako ILA ni mpaka uitoe kwenye acc ya Spesa uwithdraw kwenye account ya bank!!!
Tofauti na ecommerce kama ebay ambapo pesa inaenda direct kwa muuzaji kutoka kwa mnunuzi isipokuwa malipo yanawekwa pending kwa muda.Mbona ni simpo logic tu
Ficha ujinga sawa?
Kwanini?Una Safari ndefu ya kujifunza,
Sijui,Kwanini?
Ntakubaka sawa? Kama huna point pita mbaliSijui,
Betting sites, BetPawa, sportpesa, kazijaribu
Umemuelewesha vizuri sanaaMkuu betting company na kinachozungumziwa hapa ni vitu tofauti
Kwenye e-commerce mfumo ni
Mzigo anao Ali Kigoma
Mnunuzi Paul Mwanza
Msimamizi Jumia online
Msafirishaji Basi la Abood
Changamoto ni Paul kumlipa Ali kupitia Jumia na Mzigo umfikie Juma kupitia Abood bus.... UAMINIFU
Betting company ni between you and company.... ndio maana unalipa direct kupitia mobile payment
Kwenye Betting wewe na Betpawa mnatumiana miamala ya pesa tu
Kwenye Jumia Paul anafanya malipo, Ali anatuma mzigo jumia anasimamia na Abood anasafirisha Paul anapokea
Labda sijakuelewa ulikua unamaanisha nini mkuu
Umemuelewesha vizuri sanaa
Turudi kwenye Mada sasa.
Nini kimakwamisha mtu kuwa na Ecommerce yenye malipo hapa bongo
Shida ni nn?Aise, nimetengeneza ecommerce yangu bado tu haijawa live kwenye production env
Pitia hii ya kwanguZipo site unalipia moja kwa moja kabisa jaribu kudadisi vizuri utaziona, Ila sababu kuu ni kutokua na uaminifu wa bidhaa yaan unaweza ukaona bidhaa kwa picha ukaletewa bidhaa kwenye picha na uhalisia ni tofauti kwa hio anaedeliver ndio ataambiwa km mteja atalipia karidhia au halipii hajaridhia
Bongo hii nitajie ecommerce ya hapahapa TZ unayoweza kulipa mzigo direct moja kwa moja
Add na voxmart kwenye hii listHapo sijaelewa unamaanisha nini, Ila kuna Kikuu, Tunzaa, easy buy etc.
Research ni muhimu kabda ya development ili kujua ni features gani zutakua kwenye website yakoFree advice, kama umeona gap kwenye market taratibu tu build your digital product weka features unazoona ni suluhisho la tatizo lilikopo, ingiza bidhaa sokoni subiri matokeo, improve taratibu. Punguza focus na watangulizi wako bali jifunze kwa watangulizi wako uone nini wanafanya nawewe utafanya nini cha ziada kwa wanachofanya ili ufanye bora zaidi upate wateja.
Payment nilitegeneza Web-walletUmeweka payment gateway yoyote? Ni user B2B au ni yako binafsi?
Tunzaa pamoja na voxmart
Hiyo ndo changamoto nilivyk solve ecommerce yangu, kila kitu kipo standards za amazonMkuu betting company na kinachozungumziwa hapa ni vitu tofauti
Kwenye e-commerce mfumo ni
Mzigo anao Ali Kigoma
Mnunuzi Paul Mwanza
Msimamizi Jumia online
Msafirishaji Basi la Abood
Changamoto ni Paul kumlipa Ali kupitia Jumia na Mzigo umfikie Juma kupitia Abood bus.... UAMINIFU
Betting company ni between you and company.... ndio maana unalipa direct kupitia mobile payment
Kwenye Betting wewe na Betpawa mnatumiana miamala ya pesa tu
Kwenye Jumia Paul anafanya malipo, Ali anatuma mzigo jumia anasimamia na Abood anasafirisha Paul anapokea
Labda sijakuelewa ulikua unamaanisha nini mkuu