Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashike hiiUtakufa maskini kwa kujihurumisha kutatua shida za kila mtu. Hizo elfu 30 ekeza au msaidie mamako mzazi. Having girlfriend wako atalichukuliaje swale hili?
Kwani amekwambia anataka kusaidiwa ?? Hicho ni kimbelembele a.k.a kimbelefrontWakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni haja ya kuanza kuwachosha kuyaelezea.
Ila sasa mama yake alikuwa ni mtu mwema kwangu kiasi kwamba nikawa namsaidia pesa ndogo ndogo kwa kuwa hali yake sio nzuri sana ya kiuchumi, kama ni ugomvi tunao mimi na mwanaye tu na toka niachane na mtoto wake sijawahi kuongea naye tena na ni takriban miezi sita sasa imepita na nimepata mchumba fulani ambaye bado tunapangana pangana.
Sasa nimeotea hela kwenye mitikasi yangu ninawiwa kumtumia pesa mama mkwe ila naona kama inaweza ukawa mwanzo wa kuanza kurudisha rudisha mahusiano tena mambo yakawa mengi tena maana wananijua in and out.
Mimi nina tabia ya upole na huruma natamani tu nimsadie ila nataka isiwe sababu kwamba bado nawawaza waza isitoshe ni watu fulani wa mambo za Kiswahili swahili nadhani mshaelewa yaani, mambo ya kiwitch witch wanaziamini.
Mnasemaje nimsalimie na ku boost kidogo ka 30000 au nile buyu tu.
Okey vipi huyo mchumba wako mpya akija huku anacheka cheka anakuambia "mama yangu ametumiwa laki moja na ex wangu"Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni haja ya kuanza kuwachosha kuyaelezea.
Ila sasa mama yake alikuwa ni mtu mwema kwangu kiasi kwamba nikawa namsaidia pesa ndogo ndogo kwa kuwa hali yake sio nzuri sana ya kiuchumi, kama ni ugomvi tunao mimi na mwanaye tu na toka niachane na mtoto wake sijawahi kuongea naye tena na ni takriban miezi sita sasa imepita na nimepata mchumba fulani ambaye bado tunapangana pangana.
Sasa nimeotea hela kwenye mitikasi yangu ninawiwa kumtumia pesa mama mkwe ila naona kama inaweza ukawa mwanzo wa kuanza kurudisha rudisha mahusiano tena mambo yakawa mengi tena maana wananijua in and out.
Mimi nina tabia ya upole na huruma natamani tu nimsadie ila nataka isiwe sababu kwamba bado nawawaza waza isitoshe ni watu fulani wa mambo za Kiswahili swahili nadhani mshaelewa yaani, mambo ya kiwitch witch wanaziamini.
Mnasemaje nimsalimie na ku boost kidogo ka 30000 au nile buyu tu.
jambo hili kulikuwa na haja ya kulileta hapa?Wakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni haja ya kuanza kuwachosha kuyaelezea.
Ila sasa mama yake alikuwa ni mtu mwema kwangu kiasi kwamba nikawa namsaidia pesa ndogo ndogo kwa kuwa hali yake sio nzuri sana ya kiuchumi, kama ni ugomvi tunao mimi na mwanaye tu na toka niachane na mtoto wake sijawahi kuongea naye tena na ni takriban miezi sita sasa imepita na nimepata mchumba fulani ambaye bado tunapangana pangana.
Sasa nimeotea hela kwenye mitikasi yangu ninawiwa kumtumia pesa mama mkwe ila naona kama inaweza ukawa mwanzo wa kuanza kurudisha rudisha mahusiano tena mambo yakawa mengi tena maana wananijua in and out.
Mimi nina tabia ya upole na huruma natamani tu nimsadie ila nataka isiwe sababu kwamba bado nawawaza waza isitoshe ni watu fulani wa mambo za Kiswahili swahili nadhani mshaelewa yaani, mambo ya kiwitch witch wanaziamini.
Mnasemaje nimsalimie na ku boost kidogo ka 30000 au nile buyu tu.
Limbwata la kwenye mbaazi halijakutoka wewe tuma tu ulishapigwa chupi usoni huchomoiWakuu nilikuwa na msichana fulani niliyeishi naye miaka takribani mitatu ila bahati mbaya hatukupata baraka za kuwa na watoto na kibaya zaidi tukaja kuachana kwa mambo fulani fulani ambayo sioni haja ya kuanza kuwachosha kuyaelezea.