Ushauri: Kumpa hela mama mkwe wako wa zamani ni sawa au niache kabisa kujipendekeza?

Kwani amekwambia anataka kusaidiwa ?? Hicho ni kimbelembele a.k.a kimbelefront
 
Huruma sio mapenzi.
Mfanyakazi wa voda kulipwa na Dawasco salary.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Okey vipi huyo mchumba wako mpya akija huku anacheka cheka anakuambia "mama yangu ametumiwa laki moja na ex wangu"
According to Idd Makengo ex hutakiwi kuwa na connection naye yeyote utajisikiaje mchumbaako akikubia ninaenda kumuangalia mzazi wa ex wangu anaumwa ? Au kwenda kumzika? Hata kumzika ex usifikirie kabisa hi ni kwa afya ya uhusiano mpya
 
Ningekushauri hizo fedha peleka kwenye kituo cha watoto ya tima utapata baraka Sana kulipo kumsaidia huyo Mama wa mzinzi mwenzako wa zamani
 
Mtumie mamako hiyo pesa.au nenda sehem agiza nyama choma kaugal kidogo na wine moja.
 
jambo hili kulikuwa na haja ya kulileta hapa?
 
Limbwata la kwenye mbaazi halijakutoka wewe tuma tu ulishapigwa chupi usoni huchomoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…