Kama Mwambusi ameridhika na salary anayolipwa hata kama si kila mwezi na ana uzalendo kwa Yanga basi atafanya vizuri tu.Yanga hatuna hela hata ya kumuajiri Kocha wa Ndanda kwa sasa
Mwambusi alikuwa ana lipwa zaid milion 8 nadhani klabu yetu kwa sasa sjui hata kama inaeza kumlipa milion 1Kama Mwambusi ameridhika na salary anayolipwa hata kama si kila mwezi na ana uzalendo kwa Yanga basi atafanya vizuri tu.
Yanga Daima !!!
Hahahaasasa wanapata wapi hela ya kuajiri kocha msaidizi wa Congo...nmecheki cv yake hajafundisha hata timu zaidi ya 3.....sijui viongoz wa yanga waliangalia criteria gan!
Viongozi wetu wa soka akili fupidah! yaan badala ya kutafuta ways sahihi za kutatua tatizo wana gamble na kuongeza mzigo zaidi wa budget[emoji16] [emoji3] [emoji3]
Kuna vigezo vya FIFA na CAF mkuu na pia kuna vigezo vya TFF ambavyo vinafuata instructions za aidha FIFA au CAF.sasa wanapata wapi hela ya kuajiri kocha msaidizi wa Congo...nmecheki cv yake hajafundisha hata timu zaidi ya 3.....sijui viongoz wa yanga waliangalia criteria gan!
mwambusi ana dara A kama sijakoseamkuuKuna vigezo vya FIFA na CAF mkuu na pia kuna vigezo vya TFF ambavyo vinafuata instructions za aidha FIFA au CAF.
FIFA inasema Kocha wa klabu yoyote katika nchi wanachama ni lazima awe na daraja la kwanza, CAF inaruhusu daraja la kwnz au la pili....na TFF inafuata vigezo vya FIFA, la sivyo leo Nsajigwa angeshakuwa kocha wa Yanga.