ushauri kuntu kwa timu ya yanga.

ushauri kuntu kwa timu ya yanga.

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
Hakuna mwanamichezo Tanzania asiyejua maisha magumu yanga inayopitia, siyo kwa wachezaji mpaka viongozi wa timu.
m
wambusi ni kocha mzuri mwenye uzoefu na timu ya yanga...katika kipindi chake timu ilikuwa inacheza mpira unaonekana, sema watu huwaga hawaelewi tu, kazi kubwa kipindi kile ilikuwa inafanywa na mwambusi. mwambusi ni bonge la kocha, kama mnabisha fuatilien historian yake toka Moro utd, mbeya city nk
ushauri wangu kwa yanga, kutokana na hali ngumu club inayopitia, kuliko kuajiri makocha kwa mihemko ya usimba na yanga, mpeni timu mwambusi sababu anaijua timu vizuri, anafahamu maisha halisi timu inayopitia.
 
Yanga hatuna hela hata ya kumuajiri Kocha wa Ndanda kwa sasa
 
Kama Mwambusi ameridhika na salary anayolipwa hata kama si kila mwezi na ana uzalendo kwa Yanga basi atafanya vizuri tu.

Yanga Daima !!!
 
sasa wanapata wapi hela ya kuajiri kocha msaidizi wa Congo...nmecheki cv yake hajafundisha hata timu zaidi ya 3.....sijui viongoz wa yanga waliangalia criteria gan!
 
Mwambusi alikuwa ana lipwa zaid milion 8 nadhani klabu yetu kwa sasa sjui hata kama inaeza kumlipa milion 1
 
sasa wanapata wapi hela ya kuajiri kocha msaidizi wa Congo...nmecheki cv yake hajafundisha hata timu zaidi ya 3.....sijui viongoz wa yanga waliangalia criteria gan!
Hahahaa
Klabu zetu zina vituko
 
Hahahaa
Klabu zetu zina vituko
dah! yaan badala ya kutafuta ways sahihi za kutatua tatizo wana gamble na kuongeza mzigo zaidi wa budget[emoji16] [emoji3] [emoji3]
 
sasa wanapata wapi hela ya kuajiri kocha msaidizi wa Congo...nmecheki cv yake hajafundisha hata timu zaidi ya 3.....sijui viongoz wa yanga waliangalia criteria gan!
Kuna vigezo vya FIFA na CAF mkuu na pia kuna vigezo vya TFF ambavyo vinafuata instructions za aidha FIFA au CAF.

FIFA inasema Kocha wa klabu yoyote katika nchi wanachama ni lazima awe na daraja la kwanza, CAF inaruhusu daraja la kwnz au la pili....na TFF inafuata vigezo vya FIFA, la sivyo leo Nsajigwa angeshakuwa kocha wa Yanga.
 
mwambusi ana dara A kama sijakoseamkuu
 
Back
Top Bottom