kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,183
- 1,619
Hakuna mwanamichezo Tanzania asiyejua maisha magumu yanga inayopitia, siyo kwa wachezaji mpaka viongozi wa timu.
m
wambusi ni kocha mzuri mwenye uzoefu na timu ya yanga...katika kipindi chake timu ilikuwa inacheza mpira unaonekana, sema watu huwaga hawaelewi tu, kazi kubwa kipindi kile ilikuwa inafanywa na mwambusi. mwambusi ni bonge la kocha, kama mnabisha fuatilien historian yake toka Moro utd, mbeya city nk
ushauri wangu kwa yanga, kutokana na hali ngumu club inayopitia, kuliko kuajiri makocha kwa mihemko ya usimba na yanga, mpeni timu mwambusi sababu anaijua timu vizuri, anafahamu maisha halisi timu inayopitia.