Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Mkulima,Kwa Mimi navyojua Kwa sasa wataalam wanashauri kutorudia mbegu Kwa ubora wake unakuwanumeshuka na kupelekea mavuno kuwa machache na pia mahindi kushambuliwa Sana na magonjwa. Na wengine ngoja wafunguke.Habari wakulima na wafugaji, naomba kuuliza kwa wakulima, je inafaa ķurudia kupanda mbegu za mahindi za hybrid ambazo umeshazitumia?
Mfano kwenye mvua za Masika umèpanda mbegu za hybrid, halafu kipindi cha mavuno unàchagua yake mahindi bora na unakuja kurudia kipindi cha vuli Mbegu niliyotumia ni DK na imefanya vizur
Ulipanda DK ngapi mkuu na mavuno umepata kiasi gani mkuu?Mkulima,Kwa Mimi navyojua Kwa sasa wataalam wanashauri kutorudia mbegu Kwa ubora wake unakuwanumeshuka na kupelekea mavuno kuwa machache na pia mahindi kushambuliwa Sana na magonjwa. Na wengine ngoja wafunguke.
Upo sahihi Mkuu maana mbengu za Hybrid kama DK huwa zinafanya uchavushaji usio huru ivyo nivigumu kuzaa kama ukiiludia ni Bora kununua mbegu dukani lkn ingekuwa mbegu ya kienyeji apo sawa ingewezekanaMbegu za kisasa hazirudiwi, huwa zinapatwa na magonjwa ya ajabu ajabu na mavuno mabovu sana...kama kwa ajili ya mifugo sawa
DK 80-33Ulipanda DK ngapi mkuu na mavuno umepata kiasi gani mkuu?
Ekari ngapi?DK 80-33
DK 90-89
DK 80-53
kwa upande wa mavuno si haba, Ingawa kulikua na changamoto za mvua
Ila nimepanďa mbegu kilo 14 nimepata gunia 22
Gunia 11 kwa ekari sio mbayaDK 80-33
DK 90-89
DK 80-53
kwa upande wa mavuno si haba, Ingawa kulikua na changamoto za mvua
Ila nimepanďa mbegu kilo 14 nimepata gunia 22