Ushauri:Kurudia mbegu za mahindi

Ushauri:Kurudia mbegu za mahindi

Mkulima na Mfugaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
1,047
Reaction score
1,832
Habari wakulima na wafugaji, naomba kuuliza kwa wakulima, je inafaa ķurudia kupanda mbegu za mahindi za hybrid ambazo umeshazitumia?

Mfano kwenye mvua za Masika umèpanda mbegu za hybrid, halafu kipindi cha mavuno unàchagua yake mahindi bora na unakuja kurudia kipindi cha vuli Mbegu niliyotumia ni DK na imefanya vizur
 
Mkulima,Kwa Mimi navyojua Kwa sasa wataalam wanashauri kutorudia mbegu Kwa ubora wake unakuwanumeshuka na kupelekea mavuno kuwa machache na pia mahindi kushambuliwa Sana na magonjwa. Na wengine ngoja wafunguke.
 
Ulipanda DK ngapi mkuu na mavuno umepata kiasi gani mkuu?
 
Mbegu za kisasa hazirudiwi, huwa zinapatwa na magonjwa ya ajabu ajabu na mavuno mabovu sana...kama kwa ajili ya mifugo sawa
 
Upo sahihi Mkuu maana mbengu za Hybrid kama DK huwa zinafanya uchavushaji usio huru ivyo nivigumu kuzaa kama ukiiludia ni Bora kununua mbegu dukani lkn ingekuwa mbegu ya kienyeji apo sawa ingewezekana
 
Back
Top Bottom