Anazo K.T AbriPia ni kwanini horse za fuso hazitumiki sana kwa hapa TZ ?
Hazitumiki sana kwa sababu Mitsubishi Fuso engine zao humo wameweka zenye ujazo mkubwa (cc) wanazo za kuanzia 9000,11,000,16,000cc,20,000 mpaka 24,000cc na hazina fuel consumption nzuri.Pia ni kwanini horse za fuso hazitumiki sana kwa hapa TZ ?
Kwa mtindo huo linabugia lita ngapi kwa kila kilomita?Hazitumiki sana kwa sababu Mitsubishi Fuso engine zao humo wameweka zenye ujazo mkubwa (cc) wanazo za kuanzia 9000,11,000,16,000cc,20,000 mpaka 24,000cc na hazina fuel consumption nzuri.
Model ya nyuma kabla ya hizo FZ inashare spare na zile Fuso Super Great (waswahili huita mende)
Cc sio nguvu Ni volume tu ya engine maswala ya compression ratio yako apartHabari wana jf,
Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 .
Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi na ulaji wa mafuta.
Pia suala la mizigo kama nkiunga tela inaweza beba tani 2 zaidi ya scania ukizingatia horse yake ina 6.3kg na scania ina 8.5kg horse pekee.
View attachment 2449452View attachment 2449453View attachment 2449454
Na mizgo ulioko huko , nefa efaHili ndio aina ya tela nnalozungumzia kulifunga hapo kwenye fuso hapa limefungwa kwenye scania
View attachment 2449457View attachment 2449458
Super Great ni 2km kwa litaKwa mtindo huo linabugia lita ngapi kwa kila kilomita?
Na full tank linakunywa lita ngapiSuper Great ni 2km kwa lita
FZ ina Horse Power 274.Cc sio nguvu Ni volume tu ya engine maswala ya compression ratio yako apart
Nipe engine code ya hako ka fuso am sure hakana zaidi ya 300hp
Kwa maana hio hizi fuso ulaji wa mafuta unaweza kiwa juu kuliko scania 124?Hazitumiki sana kwa sababu Mitsubishi Fuso engine zao humo wameweka zenye ujazo mkubwa (cc) wanazo za kuanzia 9000,11,000,16,000cc,20,000 mpaka 24,000cc na hazina fuel consumption nzuri.
Model ya nyuma kabla ya hizo FZ inashare spare na zile Fuso Super Great (waswahili huita mende)