Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

114 milini 54
IMG_20220705_170258_0.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kama upo tayari kwa Scania,sema budget yako utafutiwe gari nzuri na trailer kutoka South Africa.
Kwa scania za south ambayo imetembea Km 500k kushuka chini tractor unit 114, 124, P410, 360, bei ina range rand ngapi hadi ngapi.
 
Mkuu truck iliyochini ya 500km kushuka chini bei yake itakuwa juu. Ni truck za kuanzia 2018 kuja juu bei zitakuwa juu ya Rand 900,000
 
Kwahio hio ya Rand R 150,000 kule inakua ni scania yenye sifa zipi. Maana naskia south scania zipo hadi za bei hio
 
Kaka hiyo Rand 150,000 ni 20.5million. Hata Toyota Hilux hupati South Africa.

Kwa hiyo bei inabidi utafute Scania za 2005 kushuka chini, bado ushuru ambao unacheza kwenye 20m.
 
Kwa bongo hio najua haiwezekani kabisa ila south naskia zipo . Hapo na maana hio ni bei ya kununua bila ushuru
 
Hiyo bei ndio ni bila ushuru, utapata matoleo ya miaka ya chini ya 2005. Na milleage nyingi ni zaidi ya 600,000km ila zipo kwenye condition nzuri
 
Nikipata hio kwa hio bei nikaileta bongo kwa njia ya barabara ushuru hautakuwa chini kidogo?
Ushuru unakuwa chini, trailer utachukua ya mtumba au ya kichina.

Kama ukichukua used za South Africa, trailer hulipii VAT
 
Trailer nnazo nataka horse tu. Namaana nzikokote kwa rami from south to Bongo
Inawezekana ni zinatafutwa gari kule kwenye minada au dealers wa used trucks, inakaguliwa na kutafutiwa vibali. Kisha safari inaanza, malipo utafanya kwa bank transfer ukipenda truck.
 
Ok. Ofisi zenu ziko wapi?.
Kwahio hadi horse inafika bongo vibali usafiri na manunuzi yaweza fika ngapi?
 
Back
Top Bottom