Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

N
Hazitumiki sana kwa sababu Mitsubishi Fuso engine zao humo wameweka zenye ujazo mkubwa (cc) wanazo za kuanzia 9000,11,000,16,000cc,20,000 mpaka 24,000cc na hazina fuel consumption nzuri.

Model ya nyuma kabla ya hizo FZ inashare spare na zile Fuso Super Great (waswahili huita mende)
Ni kweli nliiona moja kwenye site ya kuuza magari kaandika 25000 cc nkadhani kakosea kumbe zipo cc kubwa hivi kwa fuso
 
Cc sio nguvu Ni volume tu ya engine maswala ya compression ratio yako apart

Nipe engine code ya hako ka fuso am sure hakana zaidi ya 300hp
View attachment 2449809
FZ ina Horse Power 274.
Hii sjui ni model ipi
Screenshot_20221217-142612.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20221217-141716.jpg
    Screenshot_20221217-141716.jpg
    145.2 KB · Views: 16
Hii nmeona bei pamoja na ushuru inaweza fika mil 45 kila kitu ni ya mwaka 2002
Hizo horse kuna Fuso FZ na TV.
Bei ya hizo FV za kuanzia 2006 bila ushuru ni kuanzia 22,000usd na zimekula km kibao. Bora uanze na Scania iliyosimama
 
Hii nmeona bei pamoja na ushuru inaweza fika mil 45 kila kitu ni ya mwaka 2002
Sahihi ya mwaka huo ushuru inacheza 20million. Hiyo gari ipo Singapore na hao si watunzaji wazuri. Hiyo kwenye kazi za transit utapata pressure na hapo inakuja na axle configuration ya 4*2.

Itabidi ukaifanyie modification ili iwe na tag axle hapo katikati uwe na 6*2 ili uwe na nafasi ya kubeba mzigo mkubwa na kutosumbuliwa mizani.
 
Sahihi ya mwaka huo ushuru inacheza 20million. Hiyo gari ipo Singapore na hao si watunzaji wazuri. Hiyo kwenye kazi za transit utapata pressure na hapo inakuja na axle configuration ya 4*2.

Itabidi ukaifanyie modification ili iwe na tag axle hapo katikati uwe na 6*2 ili uwe na nafasi ya kubeba mzigo mkubwa na kutosumbuliwa mizani

Sahihi ya mwaka huo ushuru inacheza 20million. Hiyo gari ipo Singapore na hao si watunzaji wazuri. Hiyo kwenye kazi za transit utapata pressure na hapo inakuja na axle configuration ya 4*2.

Itabidi ukaifanyie modification ili iwe na tag axle hapo katikati uwe na 6*2 ili uwe na nafasi ya kubeba mzigo mkubwa na kutosumbuliwa mizani.
Hapo umenifungua macho kuhusu gari za Singapore na nkifanya modification ya tag Axle inaweza fika million ngapi?
 
Back
Top Bottom