Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

N
Ni kweli nliiona moja kwenye site ya kuuza magari kaandika 25000 cc nkadhani kakosea kumbe zipo cc kubwa hivi kwa fuso
 

Attachments

  • Screenshot_20221217-141716.jpg
    145.2 KB · Views: 16
Hii nmeona bei pamoja na ushuru inaweza fika mil 45 kila kitu ni ya mwaka 2002
Hizo horse kuna Fuso FZ na TV.
Bei ya hizo FV za kuanzia 2006 bila ushuru ni kuanzia 22,000usd na zimekula km kibao. Bora uanze na Scania iliyosimama
 
Hii nmeona bei pamoja na ushuru inaweza fika mil 45 kila kitu ni ya mwaka 2002
Sahihi ya mwaka huo ushuru inacheza 20million. Hiyo gari ipo Singapore na hao si watunzaji wazuri. Hiyo kwenye kazi za transit utapata pressure na hapo inakuja na axle configuration ya 4*2.

Itabidi ukaifanyie modification ili iwe na tag axle hapo katikati uwe na 6*2 ili uwe na nafasi ya kubeba mzigo mkubwa na kutosumbuliwa mizani.
 

Hapo umenifungua macho kuhusu gari za Singapore na nkifanya modification ya tag Axle inaweza fika million ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…