DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,341
- 480
Jamaa anapenda sana mziki.Lakini inavyoonekana mziki haumpendi. Ameshajaribu kutoa ngoma kibao. Lakini hazifanyi vizuri kwenye game. Hebu tumshaurini huyu jamaa wapi anabugi na nini afanye ili aweze kutoka kimuziki. Kwa sababu anaonekana ana hamu sana ya kutoka lakini hajui apime njia gani.
Ushauri wenu ni muhimu sana kwake na kwa wengine wanaotamani kutoka kama yeye. Karibuni tufunguke wadau especially mnaojua ABC za game hili. Game ngumu mazee!
Ushauri wenu ni muhimu sana kwake na kwa wengine wanaotamani kutoka kama yeye. Karibuni tufunguke wadau especially mnaojua ABC za game hili. Game ngumu mazee!