Ushauri kwa Adamu Mchomvu (Baba Jonii) na game ya mziki

Ushauri kwa Adamu Mchomvu (Baba Jonii) na game ya mziki

Mwanangu Adam Soma hapa.

We una kipaji tatizo promo za nyimbo zako zipo sehemu moja tu ambapo ni ofisini kwenu pekee Clouds.. bado sijaskia ngoma zako zikipigwa kama radio free africa,east africa radio,EATV,e fm.. nafkiri hii yote ni kwa sababu wewe mtangazaji kwenye kituo ambacho kinachukiwa na baadhi ya kampuni nyingi za media kutokana na ushindani wenu so mtu aki play wimbo wako anaona kama anapigia promo clouds.Mawazo yangu ni haya we kaza tu but jitahidi kutengeneza ushirikiano mwema na other radio stations na tv stations usijenge beef na mtangazaji yeyote wa kituo shindani na nyie maana atakinukisha kwa Meneja.Kuhusu kuimba/kuchana kila mtu anaweza but aidea ndo mpango mpango vilivile miziki ya sasa hivi wala haiangalii sauti ya mtu ni mkito wa kibabe/Beat kali pamoja na simple lyrics.

Epuka kutaja au kusifia kampuni yenu kwenye nyimbo zako.

asante

Hebu Watanzani tuache kuwa wachonganishi! Adam mchovu huwa hapeleki nyimbo zake vituo vingine..hata TBC sijawai kuuona ukichezwa! The man is not serious in music! Recho,mwasiti,Barnaba, linah wote zinachezwa na wako chini ya kituo cha Clouds..!
 
Una uhakika Adam mchomvu anapeleka nyimbo na video zake Ipp? Mbona wengine wa Clouds wana peleka zinachezwa? Mi nafikiri tuu sababu Adam hayuko serious na muziki ndio maana kwanza haumuingi zii kipato!

Kusema kweli ni mtangazaji mzuri na ni comedian mzuri sana huwezi kuchoka kumsikiliza kabisa..Mimi namshauri aendelee kutangaza ana fanya vyema sana na anaweza na ni mmoja ya watangazaji huwa sichoki kuwasikiliza sababu ya aina ya utangazaji wake!

kama hasambazi mziki wake bas hayupo serious!
 
kama hasambazi mziki wake bas hayupo serious!

Elewa kuwa Adam hafanyi mziki pesa bali anafanya mziki burudani kwendana na aina ya kazi zake. Ni kama swaga kazini au kachumbari kwenye pilau. Wala huwezi kumuweka kwenye list ya wanamziki hapa bongo. Ni vizuri tumjadili kama mtangazaji badala ya kumjadili kama mwanamziki.
 
Adam hajui muziki ila anaforce...hana flow wala mashairi analazmsha 2 na hata utangazaji hajui k2 ukitaka kuamini muache aimiliki show peke yake ndo utaona madudu yake...anabebwa na xxl ambapo anaplay supporting role lakin kile kipnd chake cha jmos kinaboa kinoma.

Jamaa ni mtangazaji mzuri sana,na ukitaka kujua hilo waskilize watangazaji vijana wengi wa kibongo bongo wanao tangaza vipindi vya burudani wanavyo iga swaga za kuongea za mchomvu ndio utajua msela ni noma.
 
Una uhakika Adam mchomvu anapeleka nyimbo na video zake Ipp? Mbona wengine wa Clouds wana peleka zinachezwa? Mi nafikiri tuu sababu Adam hayuko serious na muziki ndio maana kwanza haumuingi zii kipato!

Kusema kweli ni mtangazaji mzuri na ni comedian mzuri sana huwezi kuchoka kumsikiliza kabisa..Mimi namshauri aendelee kutangaza ana fanya vyema sana na anaweza na ni mmoja ya watangazaji huwa sichoki kuwasikiliza sababu ya aina ya utangazaji wake!

Mkuu ni kweli Mchonvu hafanyi muziki kama kazi ni hobi yake na afanya just for fun

Ni mtangazaji mzuri sana tu kibongo bongo lakini ukisikiliza nyimbo zake zinafurahisha sana
, si unajua jamaa kwa ukomedi

Wala huna haja ya kumshauri aache kuimba aongeZe nguvu kwenye utangazaji maana ukimuona anavyoimbaga kwenye mafiesta yao na manyimbo yake ya kikomedi its very fun
 
Back
Top Bottom