Ushauri kwa Adamu Mchomvu (Baba Jonii) na game ya mziki

Tuna gawanaga tu viroba vya konyawisee fasi ya dwas mafekeche shigid shiida Jamaa anajuwise kinowisee sema ni majuwise ya wadawise ila n hataree kw froo namkubali knomaaa

burudani+banana+konyagi+value+bangi+ugolo+kuubeli,=matokeo yake hayo hapo juu
 
Sizani kama Adamu yuko serious na mziki zaidi ya kuimba kama kujifurahisha.

Nyimbo zake haziwezi kupigwa sehemu nyingine kwani zina mgongano wa maslahi. Kwan Adam ni mfanyakazi wa Media kubwa ya Burudani Bongo, kitu kinachomfanya naye kuwa na Jina kubwa Bongo. Hivyo anakuwa anatambulika zaidi kama Radio Presenter na sio Musician. Kupiga nyimbo zake kwenye Media nyingine ni sawa na kuwapa Promo washindani wao wa kibiashara.

Clouds fm inachukiwa na washindani wao(media nyingine) kwasababu inawabuluza kibiashara wala hamna kingine. Wengine waichukiao ni wale wachawi waumizwao na mafanikio ya wenzao. Hata humu wamejaa kibao.
 
Umemaliza bladha
 
Akili.inataka mwili hautaki. Atafute kitu kingine cha kufanya. Yaani anachekesha tu kwenye game. Hata kwenye kutangaza nako ni shiida tupu. Hana.lolote!!

Haters gonna hate
 
Haters gonna hate

The problem of Tanzanians like you kende, you don't want to be told the truth. You are not ready to accept the challenges and work on them to improve your performance. You will remain where you are miaka yako yote if this is the way you interpret things.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa ni mtangazaji poa sana ila kimziki sijui lolote
 
LIKE Niku ADD;

Sio kweli kuwa station nyingine hazipigi nyimbo zake sababu yy ni mtangazaji wa Clouds.

Mbona Vanessa Mdee nyimbo zake zinapigwa radio station/Tv zote wakati nae ni mtangazaji wa Clouds Media???
 
Last edited by a moderator:
Adam hajui muziki ila anaforce...hana flow wala mashairi analazmsha 2 na hata utangazaji hajui k2 ukitaka kuamini muache aimiliki show peke yake ndo utaona madudu yake...anabebwa na xxl ambapo anaplay supporting role lakin kile kipnd chake cha jmos kinaboa kinoma.
 
Watanzania wangapi wanaijua Choice fm? Vanessa yuko choice na siyo clouds fm kampuni mama. Wewe kabla ya Vanessa kuimba ulimjua? Umaarufu wa Adam na vanessa kwenye utangazaji ni vitu viwili tofauti kabisa.

Vanessa kawahi kufahamika kama mwanamziki na sio mtangazaji. Nakuhakikishia siku joe na Ruge wakimhamishia clouds fm toka choice fm huo ndo utakuwa mwisho wa nyimbo zake kupigwa media nyingine.
 
Unaongea madini tupu, ahsante. Vannesa hana ustaa wowote kama mtangazaji kwakweli, labda u-mc wa BSS kidogo ndo raia wakaanza kumfaham. Media nyingine wanaona gere kwa Clouds Fm, hawawezi kumpa promo mmoja wa watu wanaoisimamisha sana Cloudz
 
The problem of Tanzanians like you kende, you don't want to be told the truth. You are not ready to accept the challenges and work on them to improve your performance. You will remain where you are miaka yako yote if this is the way you interpret things.

Sasa hapa wanamjenga au wanamponda?
 
Last edited by a moderator:
Adam hajui muziki ila anaforce...hana flow wala mashairi analazmsha 2 na hata utangazaji hajui k2 ukitaka kuamini muache aimiliki show peke yake ndo utaona madudu yake...anabebwa na xxl ambapo anaplay supporting role lakin kile kipnd chake cha jmos kinaboa kinoma.

Adam is a good etertainer...nadhani hata kimuziki anafanya kama sehemu ya kuinjoi tu uwanja wake wa kuburudisha...nakubaliana nawe kuwa kipindi chake huwa kinamiss sana uwepo wa Fetty na B12 ila B12 hana kipindi chake alone ili tumjaji vizuri uwezo wake kwa 2hrs alone.

Adam ana uwezo mkubwa kufanya backup na hata yeye akikosekana xxl kunakuwa na pengo.

Ushauri: ashirikishe jamaa wa kubana pua kwenye nyimbo zake, aongeze ubunifu atafika tu....aongeze content zinazovutia kwenye kipindi chake.
 
Thnx mods kwa kuremove post za kipuuzi na zinazokera na kuharibia mtu siku, mpaka wengine kujikuta tunaghafilika na kucomment jambo ambalo unabaki unajiuliza "nimefanya nini" kwa siku nzima, was very annoyed and uncomfortable with that siku nzima.

Big up 4 dat guys.
 
LIKE Niku ADD;

Sio kweli kuwa station nyingine hazipigi nyimbo zake sababu yy ni mtangazaji wa Clouds.

Mbona Vanessa Mdee nyimbo zake zinapigwa radio station/Tv zote wakati nae ni mtangazaji wa Clouds Media???

Ushawahi kuskia ngoma yake ikichezwa na dj mafuvu/east africa radio? Mi ni msikilzaji mzuri wa radios but bado sijasikia kabsaa
 
Last edited by a moderator:
Ushawahi kuskia ngoma yake ikichezwa na dj mafuvu/east africa radio? Mi ni msikilzaji mzuri wa radios but bado sijasikia kabsaa

Una uhakika Adam mchomvu anapeleka nyimbo na video zake Ipp? Mbona wengine wa Clouds wana peleka zinachezwa? Mi nafikiri tuu sababu Adam hayuko serious na muziki ndio maana kwanza haumuingi zii kipato!

Kusema kweli ni mtangazaji mzuri na ni comedian mzuri sana huwezi kuchoka kumsikiliza kabisa..Mimi namshauri aendelee kutangaza ana fanya vyema sana na anaweza na ni mmoja ya watangazaji huwa sichoki kuwasikiliza sababu ya aina ya utangazaji wake!
 
Back
Top Bottom