Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Mwanangu Adam Soma hapa.
We una kipaji tatizo promo za nyimbo zako zipo sehemu moja tu ambapo ni ofisini kwenu pekee Clouds.. bado sijaskia ngoma zako zikipigwa kama radio free africa,east africa radio,EATV,e fm.. nafkiri hii yote ni kwa sababu wewe mtangazaji kwenye kituo ambacho kinachukiwa na baadhi ya kampuni nyingi za media kutokana na ushindani wenu so mtu aki play wimbo wako anaona kama anapigia promo clouds.Mawazo yangu ni haya we kaza tu but jitahidi kutengeneza ushirikiano mwema na other radio stations na tv stations usijenge beef na mtangazaji yeyote wa kituo shindani na nyie maana atakinukisha kwa Meneja.Kuhusu kuimba/kuchana kila mtu anaweza but aidea ndo mpango mpango vilivile miziki ya sasa hivi wala haiangalii sauti ya mtu ni mkito wa kibabe/Beat kali pamoja na simple lyrics.
Epuka kutaja au kusifia kampuni yenu kwenye nyimbo zako.
asante
Hebu Watanzani tuache kuwa wachonganishi! Adam mchovu huwa hapeleki nyimbo zake vituo vingine..hata TBC sijawai kuuona ukichezwa! The man is not serious in music! Recho,mwasiti,Barnaba, linah wote zinachezwa na wako chini ya kituo cha Clouds..!