Tuna gawanaga tu viroba vya konyawisee fasi ya dwas mafekeche shigid shiida Jamaa anajuwise kinowisee sema ni majuwise ya wadawise ila n hataree kw froo namkubali knomaaa
burudani+banana+konyagi+value+bangi+ugolo+kuubeli,=matokeo yake hayo hapo juu
Sizani kama Adamu yuko serious na mziki zaidi ya kuimba kama kujifurahisha.
Nyimbo zake haziwezi kupigwa sehemu nyingine kwani zina mgongano wa maslahi. Kwan Adam ni mfanyakazi wa Media kubwa ya Burudani Bongo, kitu kinachomfanya naye kuwa na Jina kubwa Bongo. Hivyo anakuwa anatambulika zaidi kama Radio Presenter na sio Musician. Kupiga nyimbo zake kwenye Media nyingine ni sawa na kuwapa Promo washindani wao wa kibiashara.
Clouds fm inachukiwa na washindani wao(media nyingine) kwasababu inawabuluza kibiashara wala hamna kingine. Wengine waichukiao ni wale wachawi waumizwao na mafanikio ya wenzao. Hata humu wamejaa kibao.
Akili.inataka mwili hautaki. Atafute kitu kingine cha kufanya. Yaani anachekesha tu kwenye game. Hata kwenye kutangaza nako ni shiida tupu. Hana.lolote!!
Haters gonna hate
Sio kweli kuwa station nyingine hazipigi nyimbo zake sababu yy ni mtangazaji wa Clouds.
Mbona Vanessa Mdee nyimbo zake zinapigwa radio station/Tv zote wakati nae ni mtangazaji wa Clouds Media???
Watanzania wangapi wanaijua Choice fm? Vanessa yuko choice na siyo clouds fm kampuni mama. Wewe kabla ya Vanessa kuimba ulimjua? Umaarufu wa Adam na vanessa kwenye utangazaji ni vitu viwili tofauti kabisa.
Vanessa kawahi kufahamika kama mwanamziki na sio mtangazaji. Nakuhakikishia siku joe na Ruge wakimhamishia clouds fm toka choice fm huo ndo utakuwa mwisho wa nyimbo zake kupigwa media nyingine.
The problem of Tanzanians like you kende, you don't want to be told the truth. You are not ready to accept the challenges and work on them to improve your performance. You will remain where you are miaka yako yote if this is the way you interpret things.
Adam hajui muziki ila anaforce...hana flow wala mashairi analazmsha 2 na hata utangazaji hajui k2 ukitaka kuamini muache aimiliki show peke yake ndo utaona madudu yake...anabebwa na xxl ambapo anaplay supporting role lakin kile kipnd chake cha jmos kinaboa kinoma.
LIKE Niku ADD;
Sio kweli kuwa station nyingine hazipigi nyimbo zake sababu yy ni mtangazaji wa Clouds.
Mbona Vanessa Mdee nyimbo zake zinapigwa radio station/Tv zote wakati nae ni mtangazaji wa Clouds Media???
Hivi hua anaimba au anaongea?
Ushawahi kuskia ngoma yake ikichezwa na dj mafuvu/east africa radio? Mi ni msikilzaji mzuri wa radios but bado sijasikia kabsaa