Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

Hilo ndiyo lilikuwa pendekezo la Membe kama sikosei pia wale walioolewa na Watanzania na waliooa Watanzania kama wanautaka uraia wa Watanzania. Sasa hivi Ghana imeruhusu Wamarekani weusi wote wanaoutaka uraia wa Ghana wafuate taratibu husika ili wapate uraia wa Ghana.

Mkuu, uko vizuri sana.
 
Ni kweli mkuu huu ni wakati wa kuwa na mawazo chanya Ili kukuza uchumi na kutafutia vijana fursa

Akina Mwendazake na genge lake walikuwa na uzalendo gani zaidi ya wivu na kupiga propaganda uchwara?

Hata taasisi za serikali ni vyema zikawa facilitators badala ya kuwa za udhibiti

Naamini Mulamula atalifanyia kazi, tumuombee Mungu ampe afya njema!
 
Mkuu, sidhani kama uko sahihi.

Japo Katiba au sheria ya Marekani haitaji "dual citizenship", haimkatazi raia wake kuwa na uraia pacha au raia wa nchi nyingine kupata uraia wa Marekani, kwa mujibu wa sheria wa nchi zote mbili. ILA kuingia Marekani lazima utumia pasi ya Marekani kama Mmarekani na katika shughuli nyingine zinazohitaji pasi.

View attachment 1812542

Hakuna. Hii ni one way traffic. Marekaniwa asema you can do what you like as long as US is number one. Utaitwa heshini, utaitetea na kuihifadhi Narekani, hutatii mamlaka ingine yoyote ilevdhidibya Marekani. Msthelani, makanikua yetu yakikanarwazna Magufuli unawajibika kuitetea Marekani na hata ikibidi kupigana vita. Na ubatafanya haya jwa dhatim si kwa kutafyta ajira wala elimu kwa mtoto wako, ni TOTAL ALLEGIANCE. Embu soma tena naona unasahausahau:

I hereby declare, on oath, that I absolutely and entirely renounce and abjure all allegiance and fidelity to any foreign prince, potentate, state, or sovereignty, of whom or which I have heretofore been a subject or citizen; that I will support and defend the Constitution and laws of the United States of America against all enemies, foreign and domestic; that I will bear true faith and allegiance to the same; that I will bear arms on behalf of the United States when required by the law; that I will perform noncombatant service in the Armed Forces of the United States when required by the law; that I will perform work of national importance under civilian direction when required by the law; and that I take this obligation freely, without any mental reservation or purpose of evasion; so help me God."

YAANI HAPO UNAMSHITAKI SAMIA WETU KWA "SO HELP ME GOD".

How about on the Tanzania side? Sheria inasema ukishafika miaka 18 budi uamue kusuka au kunyoa, ema urudishe passport yetuau utupe passport yao tuwarejeshee yao. Utasena tutajuaje? Yaani utatudaganyadanganya kama kina Membe na Nyalandu au Nassari au maponjoro wa Mtikila, lakini usaliti ni usaliti tu. Wale unawasaliti na sisi unatusaliti, why?

One more thing. Amri ya 8 inasemaje? Dhambi na Mungu hazina uduo!!
 
Uraia pacha ni utopolo mkubwa na lazima uzuiwe kabisa kwa nguvu zote.. Ukipenda kuwa mzungu acha uraia wa Tanzania uchagua huo uraia wa mzungu.. Hao diaspora wanaolilia uraia pacha kama sio wakimbizi ni wabeba box hamna maendeleo yoyote watakayoleta zaidi ya kufanya wazungu na wakenya wawe raia na waanze kushika mashamba yetu
 
Mkuu Ingawa sina Hoja kali kama Zako ila Uraia Pacha utatuua...wahinndiu watachukua kila tuu kuanzia ajira...
Hapa Tuu sasa hivi wao ndio wanaongoza kwa Uraia Pacha wa Uingereza,Canada na India na hapa Bongo wamebadilisha sana Visa/Permit to work Wengine wanaishi zaidi ya Miaka 10
Kufanya Kazi eti ya Expert anabadilisha tuu cheo,Leo hiki kesho kile ili isibumbuluke...Uhamiaji ni sheeedah,Wahindi Shikamooni...
Mmewakomoa sana migration hadi Wameshiba tena wanawasaidia namna ya Kuishi
Huo ndio ukweli ksuruhu uraia pacha ni kufanya wageni waombe uraia wa Tanzania na sio watanzania waombe uraia wa nje hao watanzania wanaoishi nje ya nchi hawafikii hata 3m tena ni wabeba mabox wengine wakimbizi wengine wauza unga sasa hao ndio tuwatungie uraia pacha wataingizia kitu gani taifa.. Watakao nufaika na uraia pacha ni wazungu wakenya, wahindi n'a wachina na kujimilikisha mali zetu.. Mtoa mada ni moja ya washamba wa wazungu hajakaa chini akaangalia hasara za uraia pacha kwa vizazi vijavyo
 
Watanzania tuzinduke, tuachane na mambo ya kizamani na kuogopa ogopa.. ..URAIA PACHA una faida tena sio kidogo.. ..Refer South afrika, Kenya, Rwanda, Ghana, Botswana, Msumbiji, Uganda n.k ndio mtapata jibu.

Mleta uzi naunga mkono hoja!
 
Mkapa alisema uraia pacha haukubali, hataki kuuona katika maisha yake, labda uje akishafariki.

Alisema yuko tayari kuwapa wazawa wa Tanzania wenye uraia mwingine hadhi maalum ya "permanent residency" waingie na kutoka bila visa, wapate fursa za kuwekeza kama raia, lakini wasishiriki siasa.

Ndiyo maana miaka yote Mkapa alivyokuwa hai kulikuwa hakuna wa kugeuza kibao kwenye suala hili.

Sasa Mkapa kashafariki.

Labda ni muda wa kurejea hili suala.
 
Mkapa alipokuwa anasema hivyo hata Museveni alisema hivyo hivyo. Museveni alisharuhusu. Mkapa angekuwa raisi angeruhusu tu. Usipobadilika dunia inakuacha.
 
Mkapa alipokuwa anasema hivyo hata Museveni alisema hivyo hivyo. Museveni alisharuhusu. Mkapa angekuwa raisi angeruhusu tu. Usipobadilika dunia inakuacha.
Nadhani hapa ndipo nchi zetu za kiafrika tunapokwama. Tumewapa maraisi wetu such Supreme powers way above country’s constitutions. Haingii akilini mtu mmoja atamke kuwa hataki kusikia dual citizenship na watu hawahoji wanasubiri mpaka afe ndio watumie akili zao upya. Duuh!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hakuna. Hii ni one way traffic. Marekaniwa asema you can do what you like as long as US is number one. Utaitwa heshini, utaitetea na kuihifadhi Narekani, hutatii mamlaka ingine yoyote ilevdhidibya Marekani. Msthelani, makanikua yetu yakikanarwazna Magufuli unawajibika kuitetea Marekani na hata ikibidi kupigana vita. Na ubatafanya haya jwa dhatim si kwa kutafyta ajira wala elimu kwa mtoto wako, ni TOTAL ALLEGIANCE. Embu soma tena naona unasahausahau:

I hereby declare, on oath, that I absolutely and entirely renounce and abjure all allegiance and fidelity to any foreign prince, potentate, state, or sovereignty, of whom or which I have heretofore been a subject or citizen; that I will support and defend the Constitution and laws of the United States of America against all enemies, foreign and domestic; that I will bear true faith and allegiance to the same; that I will bear arms on behalf of the United States when required by the law; that I will perform noncombatant service in the Armed Forces of the United States when required by the law; that I will perform work of national importance under civilian direction when required by the law; and that I take this obligation freely, without any mental reservation or purpose of evasion; so help me God."

YAANI HAPO UNAMSHITAKI SAMIA WETU KWA "SO HELP ME GOD".

How about on the Tanzania side? Sheria inasema ukishafika miaka 18 budi uamue kusuka au kunyoa, ema urudishe passport yetuau utupe passport yao tuwarejeshee yao. Utasena tutajuaje? Yaani utatudaganyadanganya kama kina Membe na Nyalandu au Nassari au maponjoro wa Mtikila, lakini usaliti ni usaliti tu. Wale unawasaliti na sisi unatusaliti, why?

One more thing. Amri ya 8 inasemaje? Dhambi na Mungu hazina uduo!!
Mkuu, nirudi palepale kwenye ukurasa niliokutumia:
1623183439067.png

Mzawa wa Marekani mwenye uraia wa Marekani anapata faida zaidi kwakuwa hana "conflict of interest" ikitokea sababu yoyote ya uhusiano mbovu baina ya nchi ambazo mtu ana uraia pacha. Hata hivyo, bado mtu atakuwa na maamuzi ya kuchagua upande. Vile vile, Mara nyingi nchi zinafikia makubaliano ya watu wake kuwa na uraia pacha lazima zinaangalia maslahi na usalama kabla ya kuafikiana. Pili, aina ya uraia pacha pia sio "uniform" duniani kote.
 
kweli kabisa. Thread imeandikwa kwa hasira kiasi kwamba haionyeshi ushawishi. Jikite kwenye faida na hasara zake then hata hao wanaopinga waweze kubadilika, na labda wanaounga mkono nao wabadilike pia!

Diaspora ni CDM, CCM, TLP, TADEA majority hawana chama. Ni vizuri kujadili hii issue kwa maslahi mapana ya Taifa na Watanzania wote.
 
Uraia pacha hapana. Hakuna mgao kwenye uzalendo. Sisi hatuhitaji kuja kua na wabunge na rais wenye uraia pacha. Mtu alikua mwanajeshi jeshi la marekani juzi mtu alikua jasusi wa marekani juzi leo aje anagombea ubunge au anakua balozi au rais wa tanzania. Acheni mawazo yasiyokua maana.

Hao tunawaongelea wengi ni kama wewe. Wengi wamekulia, kusoma, kulelewa Kitanzania. Tofauti ni wanakaratasi ya Nje.

Wanaongea kiswahili vizuri tu? Kimasai, kigogo, kijita, kipare,etc.

Wale wa Escrow, meremeta, radar mbovu, hawakuwa dispora.
 
Uraia pacha ni utopolo mkubwa na lazima uzuiwe kabisa kwa nguvu zote.. Ukipenda kuwa mzungu acha uraia wa Tanzania uchagua huo uraia wa mzungu.. Hao diaspora wanaolilia uraia pacha kama sio wakimbizi ni wabeba box hamna maendeleo yoyote watakayoleta zaidi ya kufanya wazungu na wakenya wawe raia na waanze kushika mashamba yetu

Kubeba box ni kufanya kazi halali kwa bidii, nothing wrong with that.

Wazungu, Wakenya hawakuzaliwa hapa Tanzania. Unazungumzia issue nyingine. Tunazungumzia haki ya uraia wa kuzaliwa.

By the way hakuna anayelia, tunajadiliana. Hawa diaspora wanaweza kabisa kuishi Tanzania kama wageni.

Lakini hii issue ni zaidi ya karatasi, uwekezaji. Itakiwa iwe haki ya msingi ya kila Mtanzania aliyezaliwa Tanzania, siku zote abaki na Uraia wake.

Asiwekwe kwenye situation ambayo inabidi aukane au achague.

It should not be either, or. It should be both.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Yeye mwenyewe ni diaspora lakini kawa waziri, au yeye ana urai pacha? mimi sidhani uraia pacha ni tatizo la mtu kutoweza kuwekeza au kupata ajira huku nyumbani.hizo ni sababu tu, kwani watu wengi walio nje wamewekeza huku Tanzania pasi huo uraia pacha,watu waache visingizio kuwa eti wanashindwa kuwekeza au wanakosa fursa sababu ya uraia pacha semeni tu huko majuu maisha magumu.

Ugumu wa maisha, ajira hii issue ni zaidi ya faida za kiuchumi. It's deeper than that.

Inagusa utamaduni, mila, desturi, familia, spirit, emotions, spirituality, fairness, justice, utamaduni, Urithi, Utanzania.

Mtanzania ni nani?
 
Hujagundua kwamba presha ya walio nje kutaka uraia wao wa TZ ni kubwa kuliko walioko ndani kutaka uraia wa nje? Wengi wenye kazi za maana nje ya nchi, hawakuhitaji na hawahitaji kuchukuwa uraia wa huko, tatizo ni wale waliojiripua!

Pressure gani?

Hakuna pressure yoyote ni uzalendo, Utanzania, undugu ndani ya mioyo yao ndio unawafanya na kuwasukuma wapende nyumbani kwao.

Kama nyumba unapewa, usipofanya kazi unalipwa, kazi, biashara zipo nyingi tu. Matibabu bure, elimu sawa na bure.
 
Tuonyesheni vya maana mlivyofanya huko mlipo wehu nyie, mabox yakubeba yameisha mnataka kurudi

Mabox ya kubeba hayawezi kuisha. USA inachukuaga wahamiaji millioni kila mwaka.

Population ya Ulaya wengi ni wazee wanahitaji vijana wa kubeba box.
 
Labda nikuulize swali,ndani ya Tanzania kuna uwezekano wa mtu mmoja kuwa na makabila mawili tofauti?
Tumezoea hata kama mtoto ana wazazi wa makabila mawili tofauti,mtoto anatajwa kwa jina au kabila la baba yake.
Kwa mantiki hiyo habari ya kuwa na uraia wa nchi mbili au zaidi tusiuchekee,unaweza ukawanufaisha wachache lakini walio wengi wataumia.

Ushauri wangu kwa serikali kuhusu kuongeza diaspora ni kurekebisha mfumo mzima wa utoaji wa passport,
Mfumo wa sasa hivi wa kuulizwa swali la "unaenda wapi?'' ubadilishwe.
Chini ya swali hili waliotakiwa kupata passport wamekosa na wasiotakiwa wamepata, na wengi wamepata nyaraka hizo muhimu kwa uongo
na wale ambao hawakuwa tayari kuongopa wamekosa bila sababu za msingi.

Hakuna siri kwamba ajira hapa kwetu ni shida kama ilivyo kwa nchi nyingine nyingi duniani,lakini nchi nyingi zimeruhusu raia
wake kupata nyaraka za kusafiria ili kuwa ruhusu watu kutafuta maisha nje ya nchi zao kwa njia halali.
Wizara ibadilishe vigezo,kwa kuangalia labda tuseme elimu ya mtu,umri na shughuli anayoenda kuifanya badala ya maswali yasiyo na tija.

Kuna taasisi unakuta zinatoa nafasi za wafanyakazi kwenda nje kwa ajili ya mafunzo ya muda mfupi, na unakuta course hiyo
inajitokeza ghafla kufauatana na uhitaji let say kutengeneza mitambo na anatakiwa mtu mwenye passport iliyotayari
wewe ambaye huna unakosa fursa hiyo.Ukienda uhamiaji kuomba passport ili nawe uwe nayo ready to go uanaulizwa ''unaenda wapi?''
usipodanganya hupati maana kwa wakati huo unakuwa huna pa kwenda ila ni maandalizi.

Naomba wizara iangalie mambo kama haya,huwezi kwenda nje na kuishi huko mara moja
bila kwanza kwenda kutembelea kupitia fursa mbalimbali zinazojitokeza kupitia makampuni yetu.
kama kweli tunahitaji kuwa na diaspora wengi,turekebishe mfumo wetu wa utoaji wa passport.
kila mwenye umri wa miaka 18 aruhusiwe kupata passport bila mizengwe .

Passport inabidi iwe haki ya kila Mtanzania. Ukiomba upewe bila kutoa sababu yoyote ile. Iwe kama unavyoomba kitambulisho cha Taifa au Leseni ya gari.

Nchi nyingine ndivyo wanavyofanya. Iwe juu ya mmiliki kuitumia anavyotaka kama ni kufungua account bank, kusafiri, ku-prove yeye ni nani (Identity).
 
Synthesizer Nakubaliana nawe kwa asilimia 200, japo umechelewa sana kuileta..but, no problem!

Ingelikua dual citizenship haina faida nchi 44 kati ya 54 za Afrika wasingeruhusu. Sema baadhi ya wananchi tulionao bado wana kaushamba, hawajui faida yake hii kitu🙂 so wataelewa tu, na wataifurahia sana.

Mungu ajaalie lipitishwe haraka.

Ubarikiwe mkuu, na waliomo humu na watanzania wote kwa ujumla Mungu awabariki
 
Labda nikuulize swali,ndani ya Tanzania kuna uwezekano wa mtu mmoja kuwa na makabila mawili tofauti?
Tumezoea hata kama mtoto ana wazazi wa makabila mawili tofauti,mtoto anatajwa kwa jina au kabila la baba yake.
Kwa mantiki hiyo habari ya kuwa na uraia wa nchi mbili au zaidi tusiuchekee,unaweza ukawanufaisha wachache lakini walio wengi wataumia.
Hizi ndio point ambazo tunapaswa kutumia kupinga uraia pacha? Okay, kwa hiyo kwa kuwa wewe unachagua kabila la baba yako (kitu ambacho ni ubaguzi) badala ya mama yako, kwa hiyo Mtanzania akiolewa na Mkenya watoto wake hawana haki ya kuwa Watanzania? Sidhani kama unataka mama Samia akusikie unatoa point kama hizo.

Na suala la mimi kuchukua uraia pacha na wengine kuumia, linakujaje hasa?

Ni point kama hizo zinafanya tuseme mnaopinga hamna lolote bali chuki na wivu tu kwa kuwa mnaona hamtakaa muwe na vigezo vya kupata uraia pacha kwa hiyo mnaona bora wote wakose. Ni ukweli kwamba uraia pacha una faida sana kwa mtu alienao, lakini huwezi kusema mtu fulani anapofanikiwa anakuumiza wewe usie na mafanikio kwa hiyo huyo mtu azuiwe asifanikiwe. Huko ni kuwa selfish.
 
Labda nikuulize swali,ndani ya Tanzania kuna uwezekano wa mtu mmoja kuwa na makabila mawili tofauti?
Tumezoea hata kama mtoto ana wazazi wa makabila mawili tofauti,mtoto anatajwa kwa jina au kabila la baba yake.
Kwa mantiki hiyo habari ya kuwa na uraia wa nchi mbili au zaidi tusiuchekee,unaweza ukawanufaisha wachache lakini walio wengi wataumia.

Ushauri wangu kwa serikali kuhusu kuongeza diaspora ni kurekebisha mfumo mzima wa utoaji wa passport,
Mfumo wa sasa hivi wa kuulizwa swali la "unaenda wapi?'' ubadilishwe.
Chini ya swali hili waliotakiwa kupata passport wamekosa na wasiotakiwa wamepata, na wengi wamepata nyaraka hizo muhimu kwa uongo
na wale ambao hawakuwa tayari kuongopa wamekosa bila sababu za msingi.

Hakuna siri kwamba ajira hapa kwetu ni shida kama ilivyo kwa nchi nyingine nyingi duniani,lakini nchi nyingi zimeruhusu raia
wake kupata nyaraka za kusafiria ili kuwa ruhusu watu kutafuta maisha nje ya nchi zao kwa njia halali.
Wizara ibadilishe vigezo,kwa kuangalia labda tuseme elimu ya mtu,umri na shughuli anayoenda kuifanya badala ya maswali yasiyo na tija.

Kuna taasisi unakuta zinatoa nafasi za wafanyakazi kwenda nje kwa ajili ya mafunzo ya muda mfupi, na unakuta course hiyo
inajitokeza ghafla kufauatana na uhitaji let say kutengeneza mitambo na anatakiwa mtu mwenye passport iliyotayari
wewe ambaye huna unakosa fursa hiyo.Ukienda uhamiaji kuomba passport ili nawe uwe nayo ready to go uanaulizwa ''unaenda wapi?''
usipodanganya hupati maana kwa wakati huo unakuwa huna pa kwenda ila ni maandalizi.

Naomba wizara iangalie mambo kama haya,huwezi kwenda nje na kuishi huko mara moja
bila kwanza kwenda kutembelea kupitia fursa mbalimbali zinazojitokeza kupitia makampuni yetu.
kama kweli tunahitaji kuwa na diaspora wengi,turekebishe mfumo wetu wa utoaji wa passport.
kila mwenye umri wa miaka 18 aruhusiwe kupata passport bila mizengwe .
Kama mnakataa uraia pacha kataeni tu. Lakini hoja ya makabila ni tofauti.

Makabila hayana sovereignty, hayatoi passport, hayana uraia, hayana kiti cha United Nations.

Na ndiyo, mtu mwenye Mama Myao na Baba Msukuma anaweza kuwa na Makabila mawili tofauti.

Kwa sababu kwa Wasukuma mtoto anafuata kabila la baba, kwa Wayao mtoto anafuata kabila la Mama.

Huyu mtu akienda Usukumani watamwita Msukuma, akienda Uyaoni watamuita Myao, na yeye atakuwa na uwezo wa kuamua ajitambulishe kama kabila gani sehemu gani.

In fact kama hujapima DNA kulinganisha na baba yako unaweza kufikiri wewe mtu wa Kigoma Nasibu Abdul, kumbe ni Nasib Nyange una asili ya Morogoro.

Tuongelee uraia, nikimnukuu Nyerere, unaongelea ukabila kwani tunataka kutambika hapa?
 
Back
Top Bottom