Ushauri kwa CCM: Mruhusu ushindani kwa Wagombea Urais ndani ya CCM

Ushauri kwa CCM: Mruhusu ushindani kwa Wagombea Urais ndani ya CCM

Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama.

Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali.

Nawasilisha.
Acha chokochoko mwenyekiti kwetu ni mtukufu haitakiw awe na mpinzani ndo maan sisi uvccm hua tunasubiri mwenyekiti akisema jambo ndio tunasapoti!! Akili zetu hazina kaz zaid ya kusapoti kila kitu, hata ikitokea kajinyea sisi tutasapoti na kuimba mapambio ya.. mmmmh unanukia vzr 🎶🎶🎶🎶
 
Acha chokochoko mwenyekiti kwetu ni mtukufu haitakiw awe na mpinzani ndo maan sisi uvccm hua tunasubiri mwenyekiti akisema jambo ndio tunasapoti!! Akili zetu hazina kaz zaid ya kusapoti kila, hata ikitokea kajinyea sisi tutasapoti na kuimba mapambio ya.. mmmmh unanukia vzr [emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Duuuuu
 
Anawatafuta uccm
Naunga mkono hoja yake.

Demokrasia ndani ya CCM ni afya kwa Demokrasia ya Nchi yetu.

Hakika CCM inahitaji maboresho hayo kama vile yanavyohitajika katika Vyama vingine vya siasa, kamavile CHADEMA, NCCR, CUF, TADEA...++, nadhani itakuwa ni vyema kwani itapunguza Uungu watu na kuchochea Check and balance ya vyama na hata kwenye Serikali.
 
Kwani lini ulikatazwa?
Umekuwa ni utamaduni wa CCM kuzuia wengine kugombea hadi aliyekuwepo amalize awamu mbili wakati hilo halipo kwenye Katiba ya CCM. Pia kama aliyekuwepo tunaona kabisa atatadababisha CCM kukosa kura za kutosha kwanini wasiachane na utamaduni huo. Ni ushauri wangu tu, ila wakishupaza shingo inaeezekana huko mbele kuiba kura ikashindikana kabisa ni bora CCM iwe na Mgombea mwenye mvuto kwa wapiga kura.
 
Ni muda muafaka sasa umefika CCM iruhusu ushindani kwa wagombea Urais ndani ya Chama.

Vile vile, kofia ya Urais na ya MwenyeKiti wa CCM Taifa itanganishwe ili iwe rahisi kwa Chama kuisimamia Serikali.

Nawasilisha.

Mbona ndio hufanya hivo
Chadema tuambieni mwenyekiti wa chama lini kagombea?
 
Wanaunganaga sana maana wanajua msiba utaingia mjengoni na wote ni wahanga. Ila theres no way lazma jambo hilo lifikie mwisho.
Mwisho may be itakuwa 2045 maana hawa jamaa siwaoni ivi karibuni wakiachia madaraka
 
Mwisho may be itakuwa 2045 maana hawa jamaa siwaoni ivi karibuni wakiachia madaraka
Bila utata hawaachii nchi. Hili nilishalisema a million times. Lazma kiwake V8 zigome kwenda ndio tutaelewana. Tukio likionekana BBC huko kwamba raia wameleta utata ndio kitaeleweka.

Hata wasipoachia ila watarudisha adabu na utiifu.
 
Back
Top Bottom