Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
bongo huenda ikawa ya pili afrika baada ya nigeria kwa kuwa na talented celebrities.wapo wengi sana na wengi wao wapo talented.
tatizo kubwa walilonalo ni kufall rondomly in love kwa celebrities wa kiume bila kuwa na deep follow up kwa hao wauza sura wa kiume.
matokeo yake wakishawatumia wanaanza kuwapaka matope ooh bongo mademu michosho..
baadae hutangaza ndoa nje ya bongo kama vile bongo haina mabinti watulivu.
ifike pahala dada zangu muwafungie vioo hao celebrities wa kiume wa bongo..hawajielewi